Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Status
Not open for further replies.
MODS...!

Mnanafunzi?? pamoja na haraka ya ku-post na pamoja na mazingira ya tukio, ni vyema pia kichwa cha habari kuwa sahihi...!
 
Mwanafunzi wa mwaka wa nne kitivo cha sheria kwa jina la ALEX, amepigwa risasi tumbon na majambazi. Tukio hlo limetokea saa nane na nusu usiku, ktk ukumbi wa yombo 1 ambapo alikuwa na wenzake watatu wakijisomea kwa ajili ya mtihani wa kesho. Majambaz hayo yamepora laptop 3, simu na pesa. Ulinz hapa chuo ni mdogo sana,na kuna maaskari lakini hawakuwapo na walijifisha. Tukio hlo limesababisha wanafunz kuandamana usiku mzima, wakitaka kujua haki zao za kulindwa na hao mapolsi ambao wamekuwa hawawajibiki. Toka saa nane mlio wa risasi ulilia na waliusikia lakini hawakutokea na wakati wapo mita kama 200 kutokea sehemu ya tukio. Majeruh alifikishwa hospitali ya chuo na wanafunz wenyewe, sasa amepelekwa moi, na mungu atamsaidia. Baba professor mkandala tunaomba usikie kilio chetu na muimarishe ulinzi. Sijui kama mwanafunz huyo angekuwa foreina Udsm ingekuaje. TUMEWACHOKA MApolisi. Inasikitisha sana

Njaa imezidi mpaka kuiba Laptop kwa risasi!!!!!!!!!.
 
Poleni sana wana chuo na mungu atawatia nguvu na kuwatauliza maana mnakaribia mitihani yenu wengine ya mwisho. Hao majambazi mungu amewaona nao mwisho wao watauona na watakumbuka ushenzi waliwafanyia ninyi
poleni sana na mumtumaini mungu pekee. Amina
 
Inasikitisha sana jamani jamaa ndiyo alikuwa anamalizia exams kapatwa na majanga,Mungu atakusaidia.
 
Ile milioni 100 ya LUKUVI ikaimarishe ulinzi vyuoni.
 
Inauma sana. Poleni sana, MUNGU AMSAIDIE HUYO KIJANA ILI APONE HARAKA. Nchi yetu imeharibika kabisa.
 
Mmesahau AMRI ya Mizengo Pinda? "PIGA" ndo ipo kwenye blueprint na itatekelezwa kwenye mikutano ya CDM. Msiogope, ndo tunakaribia kufika
 
Poleni sana wanafunzi wa Chuo Kikuu kwa msiba, Serikali imalisheni ulinzi kwa wanafunzi.
 
hii hatari yaani unataka kuua mtu kisa laptop!kweli tunapoelekea huko sipo kabisa
 
eeh mwenyez mungu mwingi wa rehema umponye kijana wa watu.
hapa udsm ni majanga kila siku ndo maana wanafunzi wakikamata mwiz wanapiga karib kuua.
hawa auxiliary siwapend kbs leo na kesho utawaona wako bize kukagua mizigo ya wanafunzi wanaotoka chuo mi nawish nguvu hzo wangezielekeza kwenye ulinzi.
 
Huyu dogo naishi na kakake hapa kisarawe, hii alfajiri nimetoka nae kwenda muhimbili, dogo yupo chumba cha upasuaji hadi muda huu, haijulikani ni risasi au nini sijui... dogo ameumia tumbo!
 
Hii Tz sasa imefika pabaya.....bastola/bunduki zinatumika kuiba vitu vidogo kama laptop????
Tena eneo la taasisi kama UDSM?
 
Ritz, nadhani hujamuelewa King'asti. Anachoongelea yeye ni mazingira ya UDSM na si vijiji vya ujamaa unavyovisema wewe. Au UDSM napo vilikuwepo hivyo vijiji? Angalia usijikute wewe ndo unakuwa muongo sasa!
Hakuna anachokielewa huyu jamaa!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom