Mwanafunzi
wa mwaka wa
nne kitivo cha sheria kwa jina la ALEX, amepigwa risasi tumbon na
majambazi. Tukio hlo limetokea saa nane na nusu usiku, ktk ukumbi wa
yombo 1 ambapo alikuwa na wenzake watatu wakijisomea kwa ajili ya
mtihani wa kesho. Majambaz hayo yamepora laptop 3, simu na pesa. Ulinz
hapa chuo ni mdogo sana,na kuna maaskari lakini hawakuwapo na
walijifisha. Tukio hlo limesababisha wanafunz kuandamana usiku mzima,
wakitaka kujua haki zao za kulindwa na hao mapolsi ambao wamekuwa
hawawajibiki. Toka saa nane mlio wa risasi ulilia na waliusikia lakini
hawakutokea na wakati wapo mita kama 200 kutokea sehemu ya tukio.
Majeruh alifikishwa hospitali ya chuo na wanafunz wenyewe, sasa
amepelekwa moi, na mungu atamsaidia. Baba professor mkandala tunaomba
usikie kilio chetu na muimarishe ulinzi. Sijui kama mwanafunz huyo
angekuwa foreina Udsm ingekuaje. TUMEWACHOKA MApolisi. Inasikitisha
sana