Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Mwanafunzi chuo kikuu UDSM apigwa risasi- Afariki

Status
Not open for further replies.
Effects za kuwa na viongozi wa nchi washamba....hao ni polisi wamepewa mamlaka ya kuua! Hata wakija kuiba waziri mkuu kasema tutii amri yao,tukikataa ni kichapo tu....ndo haya matatizo ya kauli ya mfalme wa nyuki tanzania
 
From udsm

Poleni sana na MUNGU amsaidie kijana huyo apone haraka. Kwa JF ni vizuri kuwa makini na eneo la chuo (Mlimani) kwani ikitokea hivi wanafunzi huwa wakali san kitu kidogo wanakuanzishia.
 
Kwakweli waziri inabidi afute kauliyake ya wapigwe tu! Inawezekana ni polisi kweli si wameambiwa na mdogo wa mkuu wa nchi!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
From udsm

Polisi wote wako Arusha kuhakikisha Chadema wanasambaratika. Polisi wa UDSM hakuna kitu kazi yao kuomba rushwa za mia 5. Hao auxilliary ndo usiseme wanashindia kuwinda wenye boda boda ili wawabambikie kesi. Poleni sana, jilindeni wenyewe
 
Poleni sana na majeruhi tumamuombea nafuu ya haraka.
 
Aisee. Maisha ya bongo yamekuwa magumu sana. Nimekumbuka amani ya enzi za mwalimu, unaamka saa nane usiku unatembea umbali mrefu kwenda darasani. Unaweza kulala bila kufunga mlango na simu yako ya nokia jeneza iko hapo juu.

Siku hizi usipobakwa kuna majambazi. So sad! Mungu akujaalie afuai
 
Kwakweli waziri inabidi
afute kauliyake ya wapigwe tu! Inawezekana ni polisi kweli si wameambiwa
na mdogo wa mkuu wa nchi!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Wapigwe tu, na mimi nasema wapigeni. Kijana wa watu anataka dissertation yake akaambulia kupigwa tu. Waziri Mkuu naye kibaka tu
 
Pole sana vijana katika wakati huu mgumu.
 
jana ucku wakati tunatoka udsm tulipipofika uwanja wa mpira geti maji tukakuta vijana wanne wamemkamata mwnfunzi wa udsm kwa madai kuwa alijisaidia uwanjan hapo hvyo wanamchukua mwnfnz hyo na kuondoka naye, sisi hatukujali sana, cjui waliishia wapi?
 
Mwanafunzi wa mwaka wa nne kitivo cha sheria kwa jina la ALEX, amepigwa risasi tumbon na majambazi. Tukio hlo limetokea saa nane na nusu usiku, ktk ukumbi wa yombo 1 ambapo alikuwa na wenzake watatu wakijisomea kwa ajili ya mtihani wa kesho. Majambaz hayo yamepora laptop 3, simu na pesa. Ulinz hapa chuo ni mdogo sana,na kuna maaskari lakini hawakuwapo na walijifisha. Tukio hlo limesababisha wanafunz kuandamana usiku mzima, wakitaka kujua haki zao za kulindwa na hao mapolsi ambao wamekuwa hawawajibiki. Toka saa nane mlio wa risasi ulilia na waliusikia lakini hawakutokea na wakati wapo mita kama 200 kutokea sehemu ya tukio. Majeruh alifikishwa hospitali ya chuo na wanafunz wenyewe, sasa amepelekwa moi, na mungu atamsaidia. Baba professor mkandala tunaomba usikie kilio chetu na muimarishe ulinzi. Sijui kama mwanafunz huyo angekuwa foreina Udsm ingekuaje. TUMEWACHOKA MApolisi. Inasikitisha sana

Polisi wako bize na CDM! Nchi inazidi kuporomoka!
 
Tutaambiwa mauaji yalilabitiwa kiufundi na ustadi mkubwa na CHADEMA.
 
MUNGU azidi kumpigania huyo majeruhi ili arejee katika afya yake.
 
Umaskini ukizidi na kukosekana kwa ajira kwa vijana matokeo yake huwa ndo haya.., pole kwa muhanga.
 
...poleni sana na tumwombe Mwenyezi Mungu ulinzi wake,tusitegeme ulinzi kutoka kwenye hii serikali kwani tayari waziri mkuu ameishatoa kibali kwa waarifu kuwapiga raia wema...
 
Hao majambazi wamefulia bastola kwa laptop tu
 
Aisee. Maisha ya bongo yamekuwa magumu sana. Nimekumbuka amani ya enzi za mwalimu, unaamka saa nane usiku unatembea umbali mrefu kwenda darasani. Unaweza kulala bila kufunga mlango na simu yako ya nokia jeneza iko hapo juu.

Siku hizi usipobakwa kuna majambazi. So sad! Mungu akujaalie afuai

Acha uongo watu wameliwa sana na simba vijiji vya ujamaa usichanganye mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom