Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 754
- 3,097
Hili tatizo la Kushindwa Kupumua ndio substitute ya Corona au?
Kautafiti nilikofanya wanatumia hilo neno ili kupunguza ukali wa maneno kama wanavyo punguza kwa mtu kilema unasema mlemavu,au kipofu uoni hafifu,au Ukimwi upungufu wa kinga mwili,kwa hiyo Changamoto ya kupumua ni CoronaTz tuna ugonjwa umezuka unaitwa tatizo la kushindwa kupumua!
Wako sahihi maana marehemu anaweza kuwa kaded bila kupimwa kama ana kirusi. sasa watasemaje corona bila kupima. taarifa inaweza kubadilika baada ya postmotamKautafiti nilikofanya wanatumia hilo neno ili kupunguza ukali wa maneno kama wanavyo punguza kwa mtu kilema unasema mlemavu,au kipofu uoni hafifu,au Ukimwi upungufu wa kinga mwili,kwa hiyo Changamoto ya kupumua ni Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu, serikali yetu inapambana na wote wanaosema kifo flani kimesababishwa na Corona, sasa watu hawatangazi moja kwa moja kuwa marehemu alifariki na Corona au kuhisiwa kuwa ni Corona.Hili tatizo la Kushindwa Kupumua ndio substitute ya Corona au?
hii inashangaza sana. hili janga limenipa majibu kwa nini waafrika tunadharaulikaNi Tanzania 🇹🇿 peke yake ndio kufa na Coronavirus ni Jambo la aibu.
Ukitamka Corona ni jinaiHili tatizo la Kushindwa Kupumua ndio substitute ya Corona au?