Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya afariki dunia kutokana na tatizo la kushindwa kupumua

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
730
2,957
Kupumua.jpg


bujigwa.JPG
 
TUEPUKE HOFU!!!.Ni hatari kuliko corona yenyewe kikubwa tahadhari ichukuliwe ,naiyamini serikali kwa ujumla binafsi nimemelewa Sana raisi Magufuli

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Kautafiti nilikofanya wanatumia hilo neno ili kupunguza ukali wa maneno kama wanavyo punguza kwa mtu kilema unasema mlemavu,au kipofu uoni hafifu,au Ukimwi upungufu wa kinga mwili,kwa hiyo Changamoto ya kupumua ni Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Wako sahihi maana marehemu anaweza kuwa kaded bila kupimwa kama ana kirusi. sasa watasemaje corona bila kupima. taarifa inaweza kubadilika baada ya postmotam
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom