Mwanafunzi Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya afariki dunia kutokana na tatizo la kushindwa kupumua

Naona Mungu anazidi kuufunua huu utawala na ndipo tutazid kuona kila aina ya uozo
 
Zile takwimu za waziri mkuu hazikutaja mikoa ambayo waathirika wamepatikana
! PM alisema tu Tanzania bara na Zanzibar.
R. I. P MWANAMUST, Kumbe hata MBEYA panaogopesha kuzurura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumzika kwa Amani mjumbe.


Japo inaonyesha na wasomi nasi tunazidi kuingia kwenye siasa na kuuacha ukweli, Kwa hapo kweli MTC a.k.a MIST a.k.a MUST mmetufelisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa za sababu ya kifo hutolewa na hospitali alikofia marehemu. Chuo ni kutoa tu taarifa kwa wanajumuiya wake na kuambatanisha sababu kama itakavyokuwa kwenye hati ya kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RiP Antony E. Bujigwa
Hatari sana, gonjwa hili halibagui maana ukiwa na kamwili kenye mafuta hata uwe kijana na sisi, hii corona ni balaa.

Serikali iache kukataa ukweli hali ni mbaya sana.
 
RiP Antony E. Bujigwa
Hatari sana, gonjwa hili halibagui maana ukiwa na kamwili kenye mafuta hata uwe kijana na sisi, hii corona ni balaa.

Serikali iache kukataa ukweli hali ni mbaya sana.
Hebu tueleze unataka serikali ifanyeje. Mlazimishwe kunawa mikono ama kufanya distancing?

Yaani saa hizi kila mtu akifa utasikia ni corona. Hivi kabla ya hili janga watu walikuwa hawafi?

God save us
 
Back
Top Bottom