Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 846
Watampiga marufuku kukanyaga Tanzania labda... 🙂🙂🙂ingekuwa hapa kwetu TCRA wangempiga marufuku kabisa kufanya huo mchezo tena
Kajaribu hongera zake hata kama redio callKajaribu kutengeneza radio call sio simu.
na angepotea kabisa na shule wangemfukuza.ingekuwa hapa kwetu TCRA wangempiga marufuku kabisa kufanya huo mchezo tena
Haja tengeneza simu atakuwa ametengeneza radio call maana yake katengeneza radio and transmitter mbona hiyo very easy sanaMwanafunzi wa Darasa la 12 nchini namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu.
Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham Iyambo Senior Secondary School, ametengeneza simu hiyo kwa kutumia spea za simu zilizoharibika na Mabaki ya tv iliyoungua na kuiunganisha na light bulb, fan and charger socket, simu hiyo inapata chaji yake kupitia radiator and inaweza kupiga simu popote pale kwa kutumia mawimbi za redio (radio frequencies).
The invention, which is made up of a radio system na ameiweka katika boksi ambapo unaweza kuangalia kupitia simu hiyo Chaneli moja ya Tv.
Mwanafunzi huyu huyu mwaka jana alishinda a gold medal at national level for his invention of a two-in-one machine that works as both a seed drier and cooler.
As a Tanzanian i believe that hata sisi watoto zetu wanaweza kugundua vitu vingi sana tunachotakiwa kufanya ni kuwapa nafasi.
Kua mpole ndugu, usikurupuke kama huyu nanilinhii wa ccm,Huku kwetu ukijifanya mgunduzi utakiona cha mtema kuni toka Tcra,,
Kuna Mnyakyusa mmoja kajifanya kutengeneza Chopa yke,, akaipaka na Rangi ya bendera ya Tanganyika,, walichomfanyia hao Tcra hata kaa asahau huko kwao mbeya,,
Hadi juzi Afrika kusini walipomwonea huruma wakamwita aende kwao wampe pole kwa manyalila yaliyompata huku kwetu.
Angekua tanzania ungekuta yuko jela mda huu na faini ya milioni kadhaaMwanafunzi wa Darasa la 12 nchini namibia ametengeneza simu isiyokuwa na sim card na wala haitumii muda wa maongezi kupiga simu.
Kwa mujibu wa New Era report, Simon Petrus mwanafunzi wa Abraham Iyambo Senior Secondary School, ametengeneza simu hiyo kwa kutumia spea za simu zilizoharibika na Mabaki ya tv iliyoungua na kuiunganisha na light bulb, fan and charger socket, simu hiyo inapata chaji yake kupitia radiator and inaweza kupiga simu popote pale kwa kutumia mawimbi za redio (radio frequencies).
The invention, which is made up of a radio system na ameiweka katika boksi ambapo unaweza kuangalia kupitia simu hiyo Chaneli moja ya Tv.
Mwanafunzi huyu huyu mwaka jana alishinda a gold medal at national level for his invention of a two-in-one machine that works as both a seed drier and cooler.
As a Tanzanian i believe that hata sisi watoto zetu wanaweza kugundua vitu vingi sana tunachotakiwa kufanya ni kuwapa nafasi.
Kawaida ya Watanzania, kila kitu tunajua. Mpaka kutangazwa inamaana ni kitu cha pekee kufanyika na kama kingekuwa cha kawaida wasinge mpa hio heshima.Haja tengeneza simu atakuwa ametengeneza radio call maana yake katengeneza radio and transmitter mbona hiyo very easy sana
Kwelii mkuuAngekua tanzania ungekuta yuko jela mda huu na faini ya milioni kadhaa
Sasa mkuu unaweza tuwekea sample yako uliyotengeneza walau kwa video au picha tuione???Haja tengeneza simu atakuwa ametengeneza radio call maana yake katengeneza radio and transmitter mbona hiyo very easy sana
mkuu ukiona tu mtu anadai amegundua kitu fulani bila technical specification ujue kuna namna. ni rahisi kwa watu wa kawaida kumpa tuzo huyo jamaa sababu hawafahamu hata alichofanya ni nini. sio kwetu Africa tu hata huko ulaya wanafanya sana mambo haya ya kuwapa watu sifa wasizostahiki mfano mzuri kumbuka tu ile issue ya yahoo na yule dogo wa summly.Kawaida ya Watanzania, kila kitu tunajua. Mpaka kutangazwa inamaana ni kitu cha pekee kufanyika na kama kingekuwa cha kawaida wasinge mpa hio heshima.
Kuna darasa la sita at 13 yrs old mwka 2000 alibuni redio station na kurusha matangazo ndan ya km moja apa Mburahat.cjui aliishia wap.km angewezeshwA hopin nw angekua mbali sana.alifel mtiani wa kumalza elimu ya msing.Mkuu Kwanza hapo hakuna ugunduzi mpmpya hio ni assembling tu ya tools halafu hio simu yake hawezi tengeneza nyingi na zika operate properly, Chip ndo zinatenganisha mteja na mteja sasa hapo anaturudisha mambo ya radio call ambayo ni full interference of Waves yani muingiliano wa mawimbi...Anahitaji pongezi kwa kufanya ivo pia japo sheria sidhani kama zinaruhusu testing bila vibari...Bongo ni siasa siasa na wananchi hata taasisi za elimu ni siasa kuna dogo aliunda transmitter way back na kurusha mawimbi ya Fm radio hapa hapa tz mamlaka zilimfata na kumuonya aache kuingilia frequency za watu na wakamuacha bila kumchukua na kumuendeleza