Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Mkuu story yako ni short chasis.
Hujaelezea uhalisia wa huyo amma. Je ni mjane? Au ameachika?
Na wewe hujaelezea historia yako ya kimapenzi kabla hujakutana na huyu mama.
Je ulikuwa kwenye mahusiano wakati unakutana na huyu mama? Au umeachika?
Na pia hujaelezea tofauti ya umri uliopo kati yako na huyo mama. Amekuzidi au umemzidi au mnalingana?
Na pia hujaelezea mipango halisi ya hayo mapenzi yenu, je mnataka kuishi kama mke na mume au mnaendekeza tamaa zenu tu kwa sasa au mwenzetu umekumbwa na tamaa ya utajiri wa mama kwa sababu anazo hela?
Na je, suala la kuhamia kwake despite kwamba huyo mama ana umri unadhani ndo suluhu ya mapenzi yenu au mwenzetu umeshatiwa limbwata kwa hiyo umejikuta umetia timu kwa 'mama' kimazingaombwe?
Na je, hili suala lenu mshalifanya kuwa 'official' kwa ngazi ya ndugu, viongozi wenu wa kiroho na kadhalika au mmeamua kuvunja tu amri ya "msijamiiane na kuzini"?
Nna maswali mengi ila naona umenichanganya zaidi.
Anyway..........
 
Very very stupid! Una akil wew? Yaani niondoke kwa mama nikakae hostel ili ulelewe wew. Haya ni maajabu ya Tz
 
Mkuu story yako ni short chasis.
Hujaelezea uhalisia wa huyo amma. Je ni mjane? Au ameachika?
Na wewe hujaelezea historia yako ya kimapenzi kabla hujakutana na huyu mama.
Je ulikuwa kwenye mahusiano wakati unakutana na huyu mama? Au umeachika?
Na pia hujaelezea tofauti ya umri uliopo kati yako na huyo mama. Amekuzidi au umemzidi au mnalingana?
Na pia hujaelezea mipango halisi ya hayo mapenzi yenu, je mnataka kuishi kama mke na mume au mnaendekeza tamaa zenu tu kwa sasa au mwenzetu umekumbwa na tamaa ya utajiri wa mama kwa sababu anazo hela?
Na je, suala la kuhamia kwake despite kwamba huyo mama ana umri unadhani ndo suluhu ya mapenzi yenu au mwenzetu umeshatiwa limbwata kwa hiyo umejikuta umetia timu kwa 'mama' kimazingaombwe?
Na je, hili suala lenu mshalifanya kuwa 'official' kwa ngazi ya ndugu, viongozi wenu wa kiroho na kadhalika au mmeamua kuvunja tu amri ya "msijamiiane na kuzini"?
Nna maswali mengi ila naona umenichanganya zaidi.
Anyway..........

Kaleta mrejesho wake tafuta usome una details zaidi
 
Huku duniani kuna vibweka kweli. Siku hizi wanaume wametuletea udhalilishaji wa hali ya tofauti sana.
 
Sheikh hivi mwanamke wa miaka hiyo anaweza kukuzalia watoto wangapi?? au unataka akuzalie hela tu! Ndo mana mwanae wa kiume hataki mgawanyo wa hela za mama yake na wewe mdandia vya watu...

Mrejesho wako unaonyesha kabisa umekubali kuolewa... pole
 
hizi tabia za hawa madakitari siku hizi nomaa ila inaoneka unampa dozi mama yake hadi dogo kinamuuma
 
Bila shaka wazazi wa huyu kijana wanatamani mtu ange waletea kiroba cha chumvi na wao wakamkabidhi huyu jamaa

Yeah kuna mahali ukifika kama mtoto kwa wazazi hats ukipatwa na janga wala hawana habari ndo type ya huyu
 
mpumbafu wew na wew unajiona mwanaume kweli? acha kutuaibisha wew
 
mkuu huna point ya msingi...kifupi tafuta mwanamke wa umri wako ambaye utaweza kumuoa huyo kijana ana haki ya kulaani kwa kuwa njaa yako ndo yakupeleka kwake, una dhulumu urithi wa hao watoto, huyo mama akifa we ndo usimame kama mrithi wa mali huo ni uendawazimu mkuu...... kama la msingi msiwe mnatupotezea mda kuweka nyuzi za kijinga wadhani nasi ni wajinga na waroho wa mali kama ulivyo wewe....kuwa basi hata na aibu
 
Ha ha ha ha sheikh ktk ubora Wako usitakee kila mtu akubali unachokitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom