Mwanadada wa JF kanitongoza

Mwanadada wa JF kanitongoza

Ndo humo humo, kwani unadhani unaanzaje kutongozwa?

Anasema uko amaizing, kesho anataka akuone, baada ya hapo anakuomba umuamaze zaidi!
kumbe unaweza ukawa mtabiri mkuu ?
 
Ww hupendi kutongozwa? Ndege kaja mwenyewe mtini bado unauliza manati yapo ww vp ndg?
 
Kabisa aiseeee....
Alafu huyu jamaa kaniharibia kabisa, maana nilikua tayari nimeanza kuzoza mdada humu, na tayari keshaniachia manyoya
Hahahaha,pole sana mkuu.
Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani.
 
Hawa ndio ukiwa kagua mikono ina malengelenge, mkono mgumu, utazani anafanya kazi za mchimba mitaro.
 
lazima uachwe wewe, kama kila kitu unakuja kuuliza hapa tehe tehe tehe
 
Nipe no yanke baada ya hapo nitakuhakikishia kama anakupenda kweli au lah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom