So what....?????Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku,kuna mrembo ameniruhusu ata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida,amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri,tumebadlshana namb za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,je mahusiano yakianza kunaweza kua na upendo wa kweli?
kama huna jibu pitilizaSo what....?????
Kiukweli ni kwamba hakuna kwakuwa hata hii habari yenyewe ni ya kutunga kiwango cha ritcher 7.0Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku,kuna mrembo ameniruhusu ata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida,amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri,tumebadlshana namb za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,je mahusiano yakianza kunaweza kua na upendo wa kweli?
kwani siruhusiwi kuomba ushauri?Soma vizuri hyo thread af uje tenaPumba***** dume zima huna hata siri. Mwenzako amekuthamini ili akuponye na hata kaugonjwa ka nyeto wewe unakuja kututangazia huku. Ukiachwa utaanza kuja kulalamika tena na sababu lukuki na nahisi siku ukipewa tunda utakuja kutuhadithia humu ndani.
MWANAUME JIFUNZE KUWA MSIRI.
mkuu mshana jr hayo ni mawazo yako ila ukweli wangu ndo huoKiukweli ni kwamba hakuna kwakuwa hata hii habari yenyewe ni ya kutunga kiwango cha ritcher 7.0
niko makini kwa kila hatuaTULIA UENDE ROOM UKUTE NI TRANSGANDER View attachment 386864
Tafuta comment ya "mshana jr"kwani siruhusiwi kuomba ushauri?Soma vizuri hyo thread af uje tena
usikurupuke mkuu,mhusika kanipa mamlaka yakufanya hiviKweli wewe yako nyeto tu, unatongozwa unatangaza?
Ushapigwa chini kwa kosa hili tayari, endelea na nyeto tu.
kwa ajili ya nin?Tafuta comment ya "mshana jr"
Anamapenzi ya kweli na mkono wake..je wewe unamapenzi ya kweli?
hapa tunaongelea kutongozwa mkuu sio uamaizingIla wewe kuna mdada alisema anakuona uko amaizing, ukazingua mwenyewe!
basi ampotezee tuAnamapenzi ya kweli na mkono wake..
Chezea punyeto wewe
hapa tunaongelea kutongozwa mkuu sio uamaizing
Jibu namba 1, ni mimiWakuu mimi mgeni bado hapa jF..nisaidien maana ya haya maneno.
1:mods
2😛M
Kwakuwa umekiri basi nakubaliana nawe asantemkuu mshana jr hayo ni mawazo yako ila ukweli wangu ndo huo