Mwanadada wa JF kanitongoza

Mwanadada wa JF kanitongoza

Hawa ndio wanamuona nyerere kwenye miti...

Mweee
 
Kwanza umefikisha 3.5 gpa au mihemko tu inakusumbua?
 
Basi wewe utakuwa sio mwanaume halisi,unaanzaje kutangaza kwamba umetongozwa!!.......
 
Ndo mana mnaitwa wanaume wa dar sasa vinahusu nini kuja kumwanika na sisi wanawake tukome unaendaje mtongoza mtu pm ata kumjua humjui
 
Wakuu mimi mgeni bado hapa jF..nisaidien maana ya haya maneno.
1:mods
2😛M
mods ni jamaa flani humu ndani wameajiriwa kwa ajili ya kufuta thread za watu na kuwafungia hawataki uandike wasichokipenda
pm ni ujumbe wa siri ambao mara nyingi hulahisha utongozaji humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom