moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #121
lakn thread imejitosheleza mkuuWw hupendi kutongozwa? Ndege kaja mwenyewe mtini bado unauliza manati yapo ww vp ndg?
lakn thread imejitosheleza mkuuWw hupendi kutongozwa? Ndege kaja mwenyewe mtini bado unauliza manati yapo ww vp ndg?
sio kila kitu mkuu,na mamlaka yakuandika nimepewa na mwenye mamlakalazima uachwe wewe, kama kila kitu unakuja kuuliza hapa tehe tehe tehe
ukisoma vizur thread utajua chakufanyaA big pile of B!?(@;😡)?s:hit! Sasa unatueleza ili tufanyeje?
asante mkuuHapana nina maana kuwa kwakuwa umekiri kuwa ni kweli
kuwa mpole kama hujawahi kutongozwa humu
wewe na mimi tusubiri zamu yetu ya kutongozwa itafika

HakikaBasi wote mnahitaji ushauri wa kina
mkuu mambo gan ya ushoga niliyoleta? au ndo umekurupuka usingizinihebu weka namba tuhakikishe? halafu na mambo ya ushoga usilete humu JamiiForums
Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku,kuna mrembo ameniruhusu ata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida,amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri,tumebadlshana namb za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,je mahusiano yakianza kunaweza kua na upendo wa kweli?
kaa chini ufikiri vizuriiwe kama ulivyo,,,then uibebe
na kwel kaipata wachangiaj 129 and still countinganataka kiki
Unapenda sifa sana inavyoonekana.Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku,kuna mrembo ameniruhusu ata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida,amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri,tumebadlshana namb za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,je mahusiano yakianza kunaweza kua na upendo wa kweli?

mbona heshima iko hapo mkuu,mim na yeye tumeridhiana na amekubal ata nikiomba ushaur JF, lamba hlo povu lisitoke loteKwa hiyo kama umetongozwa unakuja kutuambia huku ili iweje? Swaa la kutongozwa ni siri yenu sasa kinachokufanya uanike siri zenu za ndani nini? Kwa nini huuheshimu uhusiano wenu wala humheshimu huyo mwaname ambaye anakupenda? Kama humtaki mweleze na kila mtu aendelee na maisha yake na sio kumtangaza humu kama matangazo ya vifo.
Namalizia kwa kusema jiheshimu, na jambo usilopenda kufanyiwa usimfanyie mwingine.
Aliyekutongoza naye labda awe na moyo mgumu kama wa paka au sjui mnyama gani!!! Maana hapo umekuja kututaarifu kuwa umetongozwa sasa mkiwa katika mahusiano itakuwaje?
Kutongozwa ni jambo la faragha,baina yako na huyo alitekutongoza,sasa kutueleza sisi unatueleza ili iweje? Kuropoka kama ulivyofanya ni dalili ya mapungufu na kutojielewa.ukisoma vizur thread utajua chakufanya
kiki ya nini mimi?Sihtaji kikianataka kiki
hapana mkuuUnapenda sifa sana inavyoonekana.
naona povu linakutoka ,kaa kando ujiulze vizuriKutongozwa ni jambo la faragha,baina yako na huyo alitekutongoza,sasa kutueleza sisi unatueleza ili iweje? Kuropoka kama ulivyofanya ni dalili ya mapungufu na kutojielewa.