Mwanadada wa JF kanitongoza

Mwanadada wa JF kanitongoza

Kwani tatizo lako nini hasa?
Alafu watu kame wewe ndio mnao turushia ndege wasinase huku jf, kisha hamchelewi kukipaka humu jf hata mnasababisha wengine tusiweze kupona
hahahhahaha na hayo meno yako Ushimen kumpata demu huku ni tabu saana.

kikikikikkkkkkk kidding
 
kuwa mpole kama hujawahi kutongozwa humu

wewe na mimi tusubiri zamu yetu ya kutongozwa itafika
huyu jamaa abadilishe avantar bhana aandike maji ya moto

duuuu ni hatari lakini salama
 
Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku,kuna mrembo ameniruhusu ata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida,amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri,tumebadishana namba za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,je mahusiano yakianza kunaweza kua na upendo wa kweli?
Umeonyesha utoto kwa kuanika mambo ya chamber hapa, akiendelea kuwa nawe basi nae kiazi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom