Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
Hahahh pole na we wala hautumi?Hivi kumbe watu bado wanapokea PM? Mi nilijua kuna tatizo la kiufundi. 8 months and counting sasa pako dry, what am I not doing right?
Hahahh pole na we wala hautumi?Hivi kumbe watu bado wanapokea PM? Mi nilijua kuna tatizo la kiufundi. 8 months and counting sasa pako dry, what am I not doing right?
Nimesoma vizuri mkuu,by the way nimetoa mtazamo wangu tu,kama unaona umefanya sawa hakuna shida......Umesoma vizuri hyo thread ?
Hahahh pole na we wala hautumi?
Ha...!!! kwa hivo mahusiano yakianza utarudisha kadi ya uwanachama wa CHAPUDU?Gpa ya nin hapa. ? kwangu gpa 3.5 haina umuhmu
huwa inatokea tu mkuuMbona mie sipatagi zali kama hiyo..dah!!
sawa mkuuKazi kwako sasa mkuu....
sitegemei kama utatuangusha katika hili maana umeona wenzako wanavyosubiria kwa hamu zamu zao za kutongozwa na wadadaz wa JF......sawa mkuu
ndioje wewe unamapenzi ya kweli?
moto wa maji ndo mimiKweli wewe mtoto wa maji aisee
Bado hujajielewa wataka nini kwetu, kwake!Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku,kuna mrembo ameniruhusu ata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida,amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri,tumebadlshana namb za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,je mahusiano yakianza kunaweza kua na upendo wa kweli?
ntalifanyia kazi mkuusitegemei kama utatuangusha katika hili maana umeona wenzako wanavyosubiria kwa hamu zamu zao za kutongozwa na wadadaz wa JF......
ntazingatia mkuuangalia wasije wakawa wale majamaa wanaokimbizana na makonda kila siku
HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA..... mkuu umenichekesha ile mbayakuwa mpole kama hujawahi kutongozwa humu
wewe na mimi tusubiri zamu yetu ya kutongozwa itafika
ntaku PM mkuuHa...!!! kwa hivo mahusiano yakianza utarudisha kadi ya uwanachama wa CHAPUDU?
Au utapunguza tu dozi ya kunyettuka!
kuwa mpole kama hujawahi kutongozwa humu
wewe na mimi tusubiri zamu yetu ya kutongozwa itafika
tunashauri mkuu ata yeye anasomaBasi wote mnahitaji ushauri wa kina
tunashauri mkuu ata yeye anasoma