moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #301
toa ushauriUna umri gani?
toa ushauriUna umri gani?
Nahitaji kwanza kujua umri wako ili nijue pa kuanzia kukushauri.toa ushauri
ahh we pita tumh slide show tu hapa napita
Bahat hyo mkuuTangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku, kuna mrembo ameniruhusu hata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida, amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri, tumebadishana namba za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,
Je mahusiano yakianza kunaweza kuwa na upendo wa kweli?
Fatilia thread vizuri utagundua kitu mkuuNdo mana pm mnajibiwa vibaya.
Mana mkipewa majibu ya kuwafariji mnakuja kutangaza,mxscheeeew.
poa poa mkuuBahat hyo mkuu