AgentX
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 1,651
- 1,700
Duhleo ni jumatano
Duhleo ni jumatano
if what your saying it is true bas he has long way to go.....To show you that, he is handsome enough to be....!
hapo bangi inahusiana vip mkuu?Samahani kwani bangi uliacha kuvuta cku hizi
Sijashusha cv yangu,mhusika kaniruhusu nifanye hviAiseee cv yako umeishusha yani unatongozwa unaanza kutangazia watu?cha ajabu hapo kwani ni nini?
Basi wote mnahitaji ushauri wa kinaSijashusha cv yangu,mhusika kaniruhusu nifanye hvi
kwan siwezi nikatangaza mahusiano yangu JF?a place where we dare to talk openlyYani siku zinavyozidi kwenda ndivyo watu wanavyozidi ishusha hadhi JF
waharibifu sana wa jamaa tumbafu zao!!!Kwani tatizo lako nini hasa?
Alafu watu kame wewe ndio mnao turushia ndege wasinase huku jf, kisha hamchelewi kukipaka humu jf hata mnasababisha wengine tusiweze kupona
mkuu huu sio utoto kama we hujatongozwa tulia povu hlo mdomoniUmesoma vizuri sheria za JF (terms and rules), plse revise the section na uache utoto.
Panzi amedondokea kwenye furushi la siafu...Ajitokeze mwingine anitongoze na mimi

hapana mkuu sio huyoKumekucha atakuwa faiza foxy huyoo ndo kakutongoza.