Mwanadada wa JF kanitongoza

Mwanadada wa JF kanitongoza

Hivi naanzaje kumpenda mwana jf wakati simjui kwa sura hata jina tu ni fake....asee watu mna mioyo ya ujasiri kweli
 
Uswahili huo,sasa kwann uyalete hapa,je akion thread yako atajisikiaje?lol ndoman mimi mtu aki ni inbx napotezea maan tutakuja kudharirishan bure
 
Wewe una matatizo umewahi kula maboga yanaitwa mamung'unya? Hiyo habari kuileta huku ni ungese tutumie namba yake Tuku saidie Hamna namna kama kick ushapata
Msaidie aisee, haswaaa anahitaji kusaidiwa
 
Asa wengine mbona kama mna wivu !uku kuna pipo kama laki kadhaa ivi so kumjua uyo mtu n ishu !ndo maana yey haogop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom