moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
- Thread starter
- #181
mkuu chekecha ubongoUkikua utaacha, nenda kapige stori na watoto wenzio kule nje
mkuu chekecha ubongoUkikua utaacha, nenda kapige stori na watoto wenzio kule nje
Nami sijashindan na wewe nimekupa Experience by the way follow what ur Mind says Hongera kwa mtongoz ndo kizaz cha .commi sipo kwa ajili ya kushindana ,ila mimi nimetongozwa JF
Vitoto kama hivi ni lazima vifunzwe na ulimwenguYani siku zinavyozidi kwenda ndivyo watu wanavyozidi ishusha hadhi JF
Umesoma vizuri sheria za JF (terms and rules), plse revise the section na uache utoto.
Mimi nilishaoa hivyo sitaki kuoa tena, subiri utapata mmemkuu chekecha ubongo
acha kua jinga jinga njo hoja yenye mashikoVitoto kama hivi ni lazima vifunzwe na ulimwengu
utapanic sanaMimi nilishaoa hivyo sitaki kuoa tena, subiri utapata mme
Ukitongozwa si unaolewa?acha kua jinga jinga njo hoja yenye mashiko
Si umeleta ushauriwe?utapanic sana
asante mkuuKama ameweza kukutongiza ww kwenye mitandao tena mbele zamashaid wamitandao, bas ujuwe huyo anatatizo lamatamanio, ila jalibu tu kuishi nae, ushaur wangu tafuta mlinz maana huko kwenye viuchocholo ooooooh atamaliza wote
punguza jazba afu nipe ushauriUkitongozwa si unaolewa?
Mwambie akajitambulishe kwenu apeleke mahari
asanteNami sijashindan na wewe nimekupa Experience by the way follow what ur Mind says Hongera kwa mtongoz ndo kizaz cha .com
Nimeshakushauri,punguza jazba afu nipe ushauri
Wakijua tu kupost mtaandikiwa kila wanachokiwaza asubuhi baada ya kushiba mkate!!!Vitoto kama hivi ni lazima vifunzwe na ulimwengu
Kwani tatizo lako nini hasa?
Alafu watu kame wewe ndio mnao turushia ndege wasinase huku jf, kisha hamchelewi kukipaka humu jf hata mnasababisha wengine tusiweze kupona
Kama ni kweli basi akili zenu wote ni za kibange, hamjielewi kabisa. Mambo ya pm unayaleta huku ya nini mwanaume mzima?Sijashusha cv yangu,mhusika kaniruhusu nifanye hvi
Tangu nilipo pitisha maamuzi ya nyeto kila siku, kuna mrembo ameniruhusu hata nikiomba ushauri JF kuwa hamna shida, amenitongoza na amenihakikishia atanipenda vizuri, tumebadishana namba za simu ameweza kunitumia picha zake kwa muonekano ni mzuri,
Je mahusiano yakianza kunaweza kuwa na upendo wa kweli?