Future Bishop
Member
- Dec 4, 2009
- 75
- 15
Heshima zenu mabibi na mabwana!
Nimekuwa nikisoma mijadara mbalimbali katika jamii forum na kiasi kikubwa inapanua uwezo wa kuelewa na kumfanya mtu kuwa na mtizamamo tofauti wa kile ambacho haiyamkini alikuwa anaamini.
In fact it makes somebody to think otherwise(think out of the box)
Hata hivyo nakuja na swali siku yangu ya kwanza kujitambulisha; kwa nini sipati raha kama sijapitia jamii forum kwa siku? Yaani baada ya kazi naweza kuahirisha hata kula kwa sababu tu naona nitapitwa na mada zilizojadiriwa siku hiyo.
Niwape hongera waliokuja na maono ya kuanzisha forum hii na kuwezesha kufanya kazi. Naamini ina mchango mkubwa kwa maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla.
Mbarikiwe