Uchaguzi 2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

Atarudishwa na boss, tusubiri
Watu wanafurahia tu lakini lazma mkuu ampe kinafasi cha kujishika tu. Na kwakwel km hawatawapa nafasi yoyote itafannya msimu ujao kutokuaminika na waunga juhudi na watakuwa wamefanya kosa kubwa sana
 
Watu wanafurahia tu lakini lazma mkuu ampe kinafasi cha kujishika tu. Na kwakwel km hawatawapa nafasi yoyote itafannya msimu ujao kutokuaminika na waunga juhudi na watakuwa wamefanya kosa kubwa sana
Atampa udc au Das lbda
Kuna tofauti kubwa ya kuchaguliwa na Kuteuliwa!
Kuchaguliwa kwa kura si mchezo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kilombero nimewaheshimu mmeiheshimisha Moro.
 
Mwache akalime ngapa Ifakara atapata akili mwaka 2025.
Hata ccm wenyewe hatukufurahishwa na maneno ya huyu jamaa
Acha dunia imfundishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakumbukumbu sana Ndugai kidogo aue mtu kwa sababu ya ubunge tu
achana na Ubunge mzee jiran yangu hapa miaka mi 5 tu ana nyumba 7 za MAANA nazozijua na alikua kapanga...... Sabufa akaona njia ni hiyo tu kuponesha kitumbua chake hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…