Lijualikali ataishi kwa kutangatanga sana, laana ya kuwasaliti wananchi Wa kilombero haitamuacha salama
Siyo yeye. Huyu ni 2015.Alipigwa na Ndugai.
Ushamba na ulimbukeni kutoka kwenye ule ufukara ghafla anaona mil250 inakuja mbele yake kwa nn asiwehuke......Huyu mpumbavu nakumbuka alidondosha hadi chozi bungeni...
Aisee...!!
Hatari sana mtu wa namna hiyo anatafuta uongozi kwajili manufaa yake binafsi tu.achana na Ubunge mzee jiran yangu hapa miaka mi 5 tu ana nyumba 7 za MAANA nazozijua na alikua kapanga...... Sabufa akaona njia ni hiyo tu kuponesha kitumbua chake hahaha
Wajumbe wa ccm Bana.....Pale mjumbe anapovua lile shati la kijani na kutinga nguo za uraiani.
Pole sana Lijuakali!View attachment 1524598
Ni kweli siyo yeye maana aliyepigwa na Ndugai anaitwa Dr. Chilongani alizawadiwa Ukuu wa Wilaya ya Meatu na mwaka huu baada ya mkwara wa mzee alinywea hakurudi tena!Siyo yeye. Huyu ni 2015.Alipigwa na Ndugai.
Ndo hivo hakuna mbunge anaepambania wananchi kiivo wapo kwa manufaa yao pande zote tu ukifuatilia wanavojiwekezea ndo utajua. maguest..mahoteli wanajijengea. Lakini cjui zahanati au darasa limejengwa na mbunge wachache sanaaa cjawai sikia...Hatari sana mtu wa namna hiyo anatafuta uongozi kwajili manufaa yake binafsi tu.
Uko sahihi kabisa; watu wengi waliochaguliwa Chadema mwaka 2015 ilikuwa ni kutokana na nguvu ya Lowassa, ambaye alikuwa amefanya kazi kwa miaka 10 kujenga network na wenyeviti wa CCM mikoni na wilayani; kura hizo nyingi walizopata CHADEMA zilikuwa za wana CCM. Hiyo ilikuwa ni tofauti sana na zile kura za 1995 na 2010 ambapo watu walikuwa na hamasa kubwa ya mabadiliko.Kina Lijualikali, Mtolea nk walishinda Ubunge kwa sababu ya kampeni za mafuriko. Lowasa aliwaomba wananchi wamchagulie wabunge. Hawa jamaa hawakushinda kwa sababu ya sera au kuwa popular. Hata wangebaki upinzani, this time wasingeshinda ng'oo. Bora wabaki CCM wanaweza wakakumbukwa kwenye teuzi nyingine.