Mwana JF share weakness yako

Ujasiri ndo huwa unaniponza jamani
 
Fanya haya!! Unahitaji kutambua maamuzi ya fedha ndio yamebeba hatima ya mafanikio yako!!!

KAMA una mtu wa Karibu jaribu kushirikishana nae mipango yako na ukiona ni mtu unaemwamini kwa mf mke au mke waweza kumpa fedha zako akutunzie.

Pia jaribu kupunguza unywaji wa pombe na marafiki wa pombeee!!!

Chanzo kikubwa cha kuyumba kwa bajeti yako kinatokana na maamuzi mabovu na unywaji wa pombee!!

Note:Mafanikio yako ya kesho yanategemea maamuzi yako ya Leo!so heshimu maamuzi yako always!
 
Mkuu Heshima yako!! UKIWA na weakness ya hivyo, jaribu kuinvest for the future Kwan WaPo watu wengi wamekua aina yako huwa WANAKUJA kujuta Siku za mbeleni kutokana na ugumu wa maisha!!

Usisahau kesho yako huwa haijulikani, so upatapo pesa Leo jifunze kuweka akina

Mukwano
 
Wenye nguvu siwataki kabisaaaa mana utaridhika mwanzoni Ila nyege zikizidi utanisumbua mwisho utaishia kunisaliti tu
Ninazo ila genye ndio huwa cna niinbox jaman me mwenyewe cpend kweli girl mwenye migenye mshindo
 
I hate sex, I love romance kitu ambacho ni ngumu sana kukipata bila kuishia kwenye sex labda mpaka siku nikibahatika kumpata mwenye upungufu wa nguvu za kiume awe anapiga angalau mara moja au mbili kwa mwezi
LAZIMA utakua na sababu!!! Jaribu kupata counseling na kama ukiona tatizo la kisaikolojia yaweZa kuwa tatizo la kibailojia (maumbile)

Mukwano
 
Yako ni nzuri hiyo inakusaidia unazidi kuingiza rizki iliyokubwa na Mungu anakuwa na radhi na wewe kwa mengi sabab ya kutoa kwako.
 

hupo peke yako...
 
Yaani hata sijui nikwambieje,thats my bigest weakness na inanitesa 6yrs in marriage with 2 lovely kids, inanikwaza maana namkwaza mume wangu,i hate sex than anything,napenda rmance
I dont know how to get rid of this
U need counseling mama
 
Hasira, dharau ambazo mwenyewe najshtukia ( sipend but niko ivo
 
Daah!Nashukuru sana maana wife ni mtumiaji mzuri sana wa fedha na anishauri kila siku niache pombe.
 
Nasahau sana nkianza kutafuta kitu hadi natamani kulia.
-Nachukulia mambo kirahisi mno.
-Mwepesi sana kulia.(hii inanitesa sana hasa sisi tuliopo kwenye ndoa.)Mambo madogo madogo tu huwa yananiliza.
 
Sijui kuwa seriouz,yani hata kwenye mambo ya msingi me ntaweka utani kidogo tu,unaweza kunifananisha na JK,Pia ni muongeaji sana.hayo ndo madhaifu yangu makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…