Mwana JF mwenzenu anawasalimu

Hata nyie mlikua mnaharaka Sana na hizo pesa za chap. Naye akaona awasulubishe tu.. Yani anawafunza kutrade ndani ya wiki kadhaa tu et utoke umeiva Ku trade forex? Matatizo mliyataka wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hakusema tumeiva ndio maana tulikuwa tunaambiwa tuchukue signal kwa Cre huku tunajifua kuwa independent traders

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaaa Hana shida kabisa. Sema ujinga wenu ndo ulikua tatizo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Thumbs up, Ontario ni mtu poa sana.

DayTradersTZ { Free to Join my Channel}

Mapambano yanaendelea kama kawaida.
1547294913947.png


Nilicho Analyse [Before kwenye channel yangu] ndicho kilichotokea
1547295227547.png


Kikubwa cha kujiuliza wote waliojaribu forex ni
- Wapi walikosea?
- Nini wengine wanafanya?
- Je nini yeye binafsi anapaswa kufanya?
Mimi binafsi nilitambua wapi nilikosea, nikajirekebisha na kusonga mbele.
Ila ni makosa makubwa kuendelea kumlaumu Ontario, kiukweli hastahili hizi lawama, Wa kujilaumu ni sisi wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom