Mwana JF mwenzenu anawasalimu

Aisee hahaaaaa...kuna ndugu yangu anajifanyaga jinias sana nikamwambia nina dola mia tatu. Nikikupa ktk hiyo forex yako unanirudishia shi ngapi? Yeye anasisitiza kusoma vitabu nikamwambia we si umesoma? Na unasema INA faida zalisha hii 300 USD basi.....mara ya mwisho kaniambia kafungua duka kapiga chini forex hahaaa....

Forex is not for me, I guess I am the everyone.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
safi sana
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom