Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 5,073
- 22,741
Kweli madame.Nimeshasoma mkuu na bado naendelea kusoma and losing is part of business too
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la kheri kwenye mapambano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli madame.Nimeshasoma mkuu na bado naendelea kusoma and losing is part of business too
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa.. Mkuu huyu jamaa alitujaza ujinga sana.
Sema mi najua sijapoteza mi nimejifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa nini sasa pale Ontario akalalamikiwa? Au kwa sababu alikuwa analazimisha watu wamtumie huyo scammer?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]unamaanishaaaIla huyu jamaa kuna wakati kama simsomi hivi..yaani dizaini kama nanihii hivi..
Tena Mimi namtumia templer na sijaona shida. Mpunga nauhamishia mpesa na ninaweka kwa mpesa pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Soma vitabu.
Mimi niliunguza Mara moja tuu tena ni kwa sababu niliweka pesa ndogo sana. Kabla ya kustop loss account ikawaka. Ila sasa raha tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi nini hapo analalamikiwa kwasababu yeye ndio chanzo cha motivation eeehhh!!!!!Hivi kwa nini sasa pale Ontario akalalamikiwa? Au kwa sababu alikuwa analazimisha watu wamtumie huyo scammer?
Sent using Jamii Forums mobile app
We nouma pia kama ulikuwa na mentor yupo vizuri
Huelewi nini hapo analalamikiwa kwasababu yeye ndio chanzo cha motivation eeehhh!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwoga mkuu ndiyo maana. Sina tamaa wala haraka. Halafu sina Mentor na wala sikuwahi kuwa naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeehh basi aliwakaba na mapanga na marungu kama vile wacheza singeli wa uswazi [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Siri ndiyo hiyo kuwa mwoga tuu. Kusanya hata PIPS mbili kwa siku zinatosha kuliko lossKumbe uoga pia ni dawa me pia mentor sina sema kujitungua sana hasa hasa kwenye news ngoja niwe muoga sasa nipunguze na papara
Eeehh basi aliwakaba na mapanga na marungu kama vile wacheza singeli wa uswazi [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilichomkuta ontario ndo saivi kinachomkuta magnetic yani watu kuwapangia broker afu watu wakijia unakula kupitia IB link ndo tatizo apo unakuta mtu kashachoma pia
Siri ndiyo hiyo kuwa mwoga tuu. Kusanya hata PIPS mbili kwa siku zinatosha kuliko loss
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lot ya 0.01 unakusanya pips ngapi kwa siku mkuu? Vipi ukiweka 1.30?Pips mbili uwo utani labda iwe lot ya kumi ndo ntaweza kuchukua pips mbili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakini sio kwa lot ya 0.01 apo ntakuwa nacheza