Mwana JF mwenzenu anawasalimu

Una uhakika huyo jamaa hakututumia kama fursa? Alitutumia bwana sema tu nakumbukaga ule msema wanasema ukitaka kula...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata nyie mlikua mnaharaka Sana na hizo pesa za chap. Naye akaona awasulubishe tu.. Yani anawafunza kutrade ndani ya wiki kadhaa tu et utoke umeiva Ku trade forex? Matatizo mliyataka wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom