nipo nyumbani tu sina pa kwenda

kama kuna mtu yupo lonely ani PM nipo hapa dar nitamfuata kiwanja

napendelea savannah au callfonia..drinks nyama choma

hhahaha

Nimefika home nimemaliza kula nasubiria papai ila afa yako nadhani naweza kughairi kula matunda nianze kumtafuta MJ one na LD nikajibembeleze maana Tf. Leo kashikiliwa mahali na Caroline Danz leo ndiyo amekamilisha lile deti lake.

habari za moro mkuu!usinikumbushe hicho kiwanja,nilimfumania dem wangu na mhadhiri wake wa mzumbe..ila sehemu nzuri sana ya kistarabu