Mwana JF maarufu ni yupi?

Mwana JF maarufu ni yupi?

Kunde ekeke yuko wapi.wapi Mzizi Mkavu. Faiza fox mtetezi wa wale wa imani ile. Islamabad mtetezi wa wahaya na kagera nzima. Wyatt matthewson? wa ughaibuni (huyu ana lugha kali ukimchanganya). Ruttashobolwa mtetezi wa kijani
 
Mkuu unajulikana had mitaan

Nimekuta juzi maostaz wanakuzungumzia

Sema juzi ulikimbia uzi wangu
Maostaz gani tena hao?

Uzi wako sijaukimbia, na mimi sina tabia ya kukimbia uzi, na siwezi kuanza ukubwani tabia hiyo, labda tumepishana tu.

Uko wapi uzi unaosema nimeukimbia?
 
Naungana na wewe kama kura inaenda kwa mganga majukwaa yote utamkuta kaandika na thread zake nyingi ni useful mfano mmu ile post ya malezi ya watoto, zingine za kuchangamsha kama ile ya walipa kodi ipo habari na hoja mchanganyiko, huyu mganga anacover sehemu nyingi wengine utawakuta maarufu jukwaa letu pendwa lile la chini kabisa, shogangu Shunie yeye maarufu mmu.
 
Back
Top Bottom