Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,479
Ukweli ni nini na unaujuaje huu ukweli na huu si ukweli?Kuto kujua ukweli hakukufanyi kuwa mjinga bali kukataa ukweli ndo kunakufanya wewe kua mjinga
Ukweli ni nini na unaujuaje huu ukweli na huu si ukweli?Kuto kujua ukweli hakukufanyi kuwa mjinga bali kukataa ukweli ndo kunakufanya wewe kua mjinga
Maana ya neno ukweli ni pana kulingana na uelewa wa mtu... Naeza nikakueleza kulingana na uelewa wangu lakini ikawa sio kweli kulingana na uelewa wako japokuwa haitonibadilisha mimi kwamba ndio ukweliUkweli ni nini na unaujuaje huu ukweli na huu si ukweli?
Maana ya neno ukweli ni pana kulingana na uelewa wa mtu... Naeza nikakueleza kulingana na uelewa wangu lakini ikawa sio kweli kulingana na uelewa wako japokuwa haitonibadilisha mimi kwamba ndio ukweli
N.b kutokukubali juu ya jambo sio ukweli haitobadilisha ukweli wa jambo kama ni la kweli..
>Kwa hiyo ukweli ni imani au statement inayo correspond na object baada ya mtiririko wa fact unaoelezea uhusiano kati ya hiyo object na reality. ...
Sijauliza ujweli kwa uelewa wako ni nini. Nimeuliza ukweli objectively ni nini?
Ukweli si imani wala statement.
Jua likiwa linawaka, hata kama hakuna mtu yeyote mwenye imani au statement kwamba jua linawaka, bado ukweli utakuwa jua linawaka.
Ukweli hautegemei observer, statement, imani etc. Ulivyoandika ni kama ukweli unawekwa na statement au imani, bila statement au imani hakuna ukweli.
Sikujua thread hii ipo, nimeitwa kwa tag maalum.
Sipo dar
Aisee...wewe sio rafiki yangu wa kweliHalafu nilikuja huko August, nisamehe sikukucheki, was so busy.
Kueleza maana ya ukweli objectively hiyo ni fallacious sababu paka sasa ukweli haujajulikana kama ni objective au subjective.. Bali tuna uperceive according kwa uwezo wetu tunavyouelewa ..Sijauliza ujweli kwa uelewa wako ni nini. Nimeuliza ukweli objectively ni nini?
Ukweli si imani wala statement.
Jua likiwa linawaka, hata kama hakuna mtu yeyote mwenye imani au statement kwamba jua linawaka, bado ukweli utakuwa jua linawaka.
Ukweli hautegemei observer, statement, imani etc. Ulivyoandika ni kama ukweli unawekwa na statement au imani, bila statement au imani hakuna ukweli.
Kama huwezi kuu define ukweli, huwezi kuuzungumzia ukweli.Kueleza maana ya ukweli objectively hiyo ni fallacious sababu paka sasa ukweli haujajulikana kama ni objective au subjective.. Bali tuna uperceive according kwa uwezo wetu tunavyouelewa ..
Ukweli unaendana na jinsi mtu anavyo amini kwa sababu ni mtazamo unategemea observer... . Mfano mtu anaweza akanywa bia kwa upande wake yeye akasikia ni tamu ukaja ukanywa wewe usipende flavor kutokupenda flavor haitobadilisha ukweli kwa yule mtu wa kwanza kwamba ni tamu hivyo ukweli unategemea na observe...
..
Ukizungumzia jua tunazungumzia uhalisia kwamba ukisema jua linawaka huo ni uhalisia ata mtu asipo amini haitobadilisha uhalisia lakini kuhusu ukweli ni imani jinsi mtu atakavyo perceive kulingana na fact...
ni mzalendo hadi mavazi yake na pocket money yake ni 7800 tuCute love naona ndiye maarufu humu.
huwa napenda ushauri wake uliotuliaSky Eclat huyu ni the best among bests