Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
sio mimi..?ni mzee fulani humu jf..Huyu ni Kipaji Halisi
hahahahaahaha..bado nina kamba mguuni...Huyo mbona kwenye "kamtandao" ni mgeni?
huyu ndiye mwenye picha hii@BujibujiJF kweli KIBOKO. Yaani ulivyokuja kunitembelea hapa kwangu SIKONGE, tayari ukanilima na picha?
Sasa haya mambo ya kuanikana wazi kabisa hapa JF siyo mazuri. NAKIRI kwenye picha ni mimi Sikonge wa JF.
hahahahaahahahaha...kumbee eeehBuji buji kabisa, alikuwa mpishi wa uji katika shule ya chekechea.
sio chekechea ni viduduBuji buji kabisa, alikuwa mpishi wa uji katika shule ya chekechea.
![]()
MENTOR akijipakulia msosi
naogopa ngumi...
YES. I hope he is Mtela Mwampamba!