Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
- Thread starter
- #21
Nimemiss uhondo wa mtaroni
Nimemiss uhondo wa mtaroni
Mitaroni ndio mambo zote wewe, kwanza siasa umezianza lini?unajua kuchagua mwana..........kule home pametulia balaa! big up bro!!!
achana na mitaro utakutana na ----- bureeee
Mitaroni ndio mambo zote wewe, kwanza siasa umezianza lini?
Nazipenda sana siasa zako zisizofungamana na upande wowotemie ni mwanasiasa......wa kujitegemea! siku nyingi sana!
Nazipenda sana siasa zako zisizofungamana na upande wowote
Nimekumisije?
mie ndio zaidi! nani kakuficha shemegiiiii........
Nimekumisije?
hivi na vichapo navyo huwa vinaandikwa katika diary ?Diary yako inaonyesha mara ya mwisho kupewa kipigo ilikuwa lini???
Na hivi Pinda ameruhusu kupiga unadhani usipojiwekea kumbukumbu utapona, wenzio wakipigwa wanaomba na risiti kabisa kama ushahidi ili wakati mwingine unaonyesha tu risiti unaepuka vipigo vingine...:kev:hivi na vichapo navyo huwa vinaandikwa katika diary ?