Mwana Jf chitchat......picha kwa idhini yake....!!!

Mwana Jf chitchat......picha kwa idhini yake....!!!

Mkuu wangu, usinifanye nihame JF, si umeona nimesema kabisa nilizima ka sm ya mchina! Mi na aleji nikiona watoto wazuri namna hiyo wakijisahau na kuonesha maungo adimu hivyo. Hata watu wakinipa hiyo hela, siwezi ifikisha kwani lazima nitaizingusha njiani nitakapozima network.

hahahah usiogope mkuu, itaabdi siku moja tumwibukie
 
Aisee mm ningekuwa mwanamke na nikawa mzuri hivi walah nisinge kaa uchi hivi..ni aibu sana na hizo nguo za mia mia wanazovaa dada zetu..kama hamna pesa simseme tuwachangie
 
Aisee mm ningekuwa mwanamke na nikawa mzuri hivi walah nisinge kaa uchi hivi..ni aibu sana na hizo nguo za mia mia wanazovaa dada zetu..kama hamna pesa simseme tuwachangie

hahaha,mkuu wenyewe wanaita swaga
 
Me nimeuliza nani bado sijapata jibu. farkhina wanawake wa mujini hapo mbona ndo kavaa dera?
 
Last edited by a moderator:
Mbona mtoto mzuri sana huyo, sawa na jina lake ati!!

Mungu kaumba bwana!
 
Mkuu mtoto kanona kitu yake imetuna,hembu ani PM basi
 
Nafkiri ukimchek tu anareflect threads zake na comments zake. Najua baadhi mshamjua hasa kwa id yake unique.
re4yqeru.jpg


Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2

Kitu cha kona bar hicho.
 
Back
Top Bottom