Mwana Jf chitchat......picha kwa idhini yake....!!!

Mwana Jf chitchat......picha kwa idhini yake....!!!

Makubwa...mie hasa mshamba kwa kweli kumbe huko ndio kupendeza salaleeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
farkhina , kwa wasichana wa kileo, kama ingekuwepo fasheni ya kutovaa nguo kabisa!! wasichan wangeigombea kwa gharama mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Nafkiri ukimchek tu anareflect threads zake na comments zake. Najua baadhi mshamjua hasa kwa id yake unique.
re4yqeru.jpg


Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
Mbona mdoli? Umechemsha
 
Nafkiri ukimchek tu anareflect threads zake na comments zake. Najua baadhi mshamjua hasa kwa id yake unique.
re4yqeru.jpg


Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2

sasa huyu akiinama kufagia kwa mifagio yetu ile ya chelewa.. hali inakuwaje wadau?
 
Naona sio siri tena wakuu washamshtukia aisee dah kuna watu ni wanaintelejensia balaa
 
Hommie I miss you. Njoo huku tufanye substance abuse.
 
Back
Top Bottom