Mwana Jf chitchat......picha kwa idhini yake....!!!

Mwana Jf chitchat......picha kwa idhini yake....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Nafkiri ukimchek tu anareflect threads zake na comments zake. Najua baadhi mshamjua hasa kwa id yake unique.
re4yqeru.jpg

Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
Jamani naomba nianzishe mchango, aliibiwa nguo zake zote juzi kati. Hata ID yake hivyo anaomba tumchangie anunue nguo nyingine. Mfadhili wake mkuu ni don nanihiino. Oh! Poor meeee nimepoteza ufahamu wangu tena
 
lmao,mkuu mimi ni rafiki tu na si mfadhili. hahah. ila we wafaa kabisa kua mfadhili
 
lmao,mkuu mimi ni rafiki tu na si mfadhili. hahah. ila we wafaa kabisa kua mfadhili

Mkuu wangu, usinifanye nihame JF, si umeona nimesema kabisa nilizima ka sm ya mchina! Mi na aleji nikiona watoto wazuri namna hiyo wakijisahau na kuonesha maungo adimu hivyo. Hata watu wakinipa hiyo hela, siwezi ifikisha kwani lazima nitaizingusha njiani nitakapozima network.
 
Back
Top Bottom