figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,699
- 59,210
BIBI kakuzalia mama yako? au yuko lika na bibi yako ni kigezo gani unakitumia jide kumwita BIBI wakati hata umri wa mama yako hana...
sioni kilichoaribika jamani kama jide apendezwi bado anaweza kubadili tarehe na tutajaza ukumbi tena mgeni rasmi amweke lwakatare ..na sababu za kubadilisha siku ni kusherekea ujio ama kuachiwa kwa lwakatare kwishna akija mwana fa sikuhiyo tena unabadilisha tu siku nyingine jamani ni kucheza na akili za mtu better is not good enough jide best is yet to comehivi katika hali ya kawaida kabisa huyu jamaa mwana fa anatafuta nini kwa dada yetu jide? Jide mara ya kwanza show yake alipanga may 31 na mwana fa naye kapanga tarehe hiyo hiyo,waungwana tukasema labda imetokea hivyo tu kwa bahati mbaya!! Kutokana na kifo cha ngwea....tarehe ikapangwa upya!! Sasa jide kapanga tarehe 14 june eti na jamaa naye kapanga tarehe hiyo hiyo!!! Ana matatizo gani huyu jamaa asee!!!!! Kama anatumiwa basi anatumiwa vibaya sana na anachemka...mwanaume mzima unashindana na mwanamke!!!!! Arrrrghhhhhhhh
View attachment 96946
Tangu mara ya kwanza wakati FA ana-postpone show yake alizungumza kupitia Tweeter kwamba "huenda show ingekuwa tena june 14" Alizungumza hili zamani sana kabla JIDE hajatangaza kwamba show amehamishia June 14.Hivi katika hali ya kawaida kabisa huyu jamaa mwana FA anatafuta nini kwa dada yetu Jide? Jide mara ya kwanza show yake alipanga may 31 na mwana FA naye kapanga tarehe hiyo hiyo,waungwana tukasema labda imetokea hivyo tu kwa bahati mbaya!! Kutokana na kifo cha Ngwea....tarehe ikapangwa upya!! Sasa Jide kapanga tarehe 14 June eti na jamaa naye kapanga tarehe hiyo hiyo!!! Ana matatizo gani huyu jamaa asee!!!!! kama anatumiwa basi anatumiwa vibaya sana na anachemka...mwanaume mzima unashindana na mwanamke!!!!! Arrrrghhhhhhhh
View attachment 96946
Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni!! Jide ndie kaifuata tarehe ya Mwana-FA! Tangu siku Mwana-FA alipoahirisha show yake alisema huenda ingefanyika Tarehe 14 Ijumaa ingawaje alikuwa hajapata uhakika sana coz' ilikuwa ndo kwanza ametoka kutamka kuahirisha show! So, hapa aliyefuata tarehe ya mwenzake ni JIDE ambae anapigana kufa na kupona kutengeneza Bifu na FA! Na kwa bahati nzuri kwake, anaonekana innocent, ameweza ku-deceive watu wote!!sioni kilichoaribika jamani kama jide apendezwi bado anaweza kubadili tarehe na tutajaza ukumbi tena mgeni rasmi amweke lwakatare ..na sababu za kubadilisha siku ni kusherekea ujio ama kuachiwa kwa lwakatare kwishna akija mwana fa sikuhiyo tena unabadilisha tu siku nyingine jamani ni kucheza na akili za mtu better is not good enough jide best is yet to come
Mnyonge Mnyongeni Haki yake Mpeni!! Jide ndie kaifuata tarehe ya Mwana-FA! Tangu siku Mwana-FA alipoahirisha show yake alisema huenda ingefanyika Tarehe 14 Ijumaa ingawaje alikuwa hajapata uhakika sana coz' ilikuwa ndo kwanza ametoka kutamka kuahirisha show! So, hapa aliyefuata tarehe ya mwenzake ni JIDE ambae anapigana kufa na kupona kutengeneza Bifu na FA! Na kwa bahati nzuri kwake, anaonekana innocent, ameweza ku-deceive watu wote!!
Tangu mara ya kwanza wakati FA ana-postpone show yake alizungumza kupitia Tweeter kwamba "huenda show ingekuwa tena june 14" Alizungumza hili zamani sana kabla JIDE hajatangaza kwamba show amehamishia June 14.
Asingeweza kuwa certain coz' hata kuwasiliana na wadau ilikuwa bado lakini yeye kama yeye ali-propose hiyo tarehe but all inge-depend na waandaaji kwani kwenye mambo kama haya waandaaji/wadhamini wana sauti coz' wanaweka fedha! And don't forget, FA aliahirisha ile show very soon tangu kutangazwa msiba wa Ngwair bila kufahamu kwamba Jide nae angeahirisha au hapana!! na shapa sitaki unafiki; kama si haya maigizo yanayoendelea kati yao, sizani kama Jide angeahirisha ile show!Labda shida ilikuwa hapo pekundu, kwa sababu tarehe haikua certain.
nasikia FA kaahirisha show ya leo bcoz ya kifo cha LANGA, tusubiri JIDE labda nae ataiga!
Mwana Fatuma kaabikaje,mwaka huu wake atakoma kutumiwa tumiwa ovyo na hao mabwana zake