Mwana FA v/s Lady Jay Dee....!!!

Nimekuelewa mkuu. Hivi hiyo tarehe 14 June, hakuna wanamuziki wengine watakaofanya show zao hapa Tanzania isipokuwa JD na FA? Anyway, mimi sio mfuatliaji sana wa muziki/wanamuziki lakini kwa hakika sijaona tatizo katika hili....unless you guys are also implying that FA is better than JD! Kama ridhiki ya JD ipo, itakuwepo tu...FA hawezi kuizuia!
 
sio kama ilivyo kuwa awali baada ya kujitoa ECT,huyu mwanafatuma anamatatizo sana

ila inaonekana ata baada ya wote kujitoa ECT waliendelea kufanya kazi pamoja, mfano waliimba pamoja wimbo wa "habari ndio hiyo"
 
ila inaonekana ata baada ya wote kujitoa ECT waliendelea kufanya kazi pamoja, mfano waliimba pamoja wimbo wa "habari ndio hiyo"

walifanya albam kabisa kipindi hicho,ilichukua kama mwaka mmoja tu hawa kuwa close kama mwanzo wa FA na AY pia katika kipindi hicho ndo kunauvumi ulitanda kuwa Ay aligoma kuppanda kwenye show za mabwana zake FA natangia hapo ilikuwa nadra sana kumskia AY humo kwa clouds
 
Kwa iyo siku iyo mnataka dar nzima ijae kwa jide?

Wewe kilaza ishu sio hiyo ishu inakuaje mara ya pili JIDE anapanga tarehe ya shughuli yake mwana FA nae anapanga siku hiyo hiyo....hii ni malice ya wazi huyu mwana FA mpuuuzi ndio maana alidanganywa atepewa ubunge wa viti maalumu na akakubali kumbe ingefaa kweli awe mbunge wa viti maalumu wa wanawake nimeamini si bure kushindana na mdada kiasi iki.
 
Unazungumza na kidhungu tukuone wa maana wakati unatapika tu yani inakuaje shughuli iliyohairishwa ilikuwa siku moja na hii JIDE katangaza tarehe 14 mtoto wa kiume aliyeahidiwa ubunge wa viti maalum nae akaamua show yake iwe tarehe hiyo hiyo.
 
Reactions: SMU

Mwana FA ni choko jamani hivi nyie hamjajua tu!
 
Huyu Jay Dee anajiona yuko entitled sana. Dizaini ni kama anaogopa ushindani. Ukimletea ushindani anakuona mbaya.

She needs to sit her ugly ass down somewhere. Gotdamnit.
 
Unazungumza na kidhungu tukuone wa maana wakati unatapika tu yani inakuaje shughuli iliyohairishwa ilikuwa siku moja na hii JIDE katangaza tarehe 14 mtoto wa kiume aliyeahidiwa ubunge wa viti maalum nae akaamua show yake iwe tarehe hiyo hiyo.
Pole mkuu kama umekwazika na hicho kizungu (sihitaji unione wa maana!- hainiongezei chochote - hunijui na mimi sikujui!).

Ni suala la hoja tu badala ya ushabiki. Kuna maswali nimeuliza hapo kama unayo majibu tuambie. Ukisema mimi "natapika" bila kunionesha ni wapi nimetapika hujitendei haki kwa sababu na wewe utaonekana "unatapika" tu!
 
Huyu Jay Dee anajiona yuko entitled sana. Dizaini ni kama anaogopa ushindani. Ukimletea ushindani anakuona mbaya.

She needs to sit her ugly ass down somewhere. Gotdamnit.

hawa washabiki wa huyu dada sijui vipi.....kwahio siku hio tar 14/6 ni Jide peke yake anaruhusiwa kupiga show???au kwasababu jide kasema atapiga tar hio ndio mwana fa amkwepe??kila mtu ana washabiki wake wataenda watakapo......
 
Oh yeah...siku hiyo ni yeye tu. Wengine hawapaswi kufanya lolote lile.

Stupid and arrogant sense of entitlement.
 
aisee sikujua undani huu wa bifu, nimeelewa sasa kwanini FA amekua hivyo,ila hafiki mbali,hivi hakumbuki ni jinsi gani ameshirikiana na jide kwenye hawajui, alikufa kwa ngoma nk.Lakini kwa mimi ninavyo mfahamu FA usaliti ni hulka yake tangu akiwa East Coast Team
 
Hiyo shoo ya bwanaFatuma iliandaliwa rasmi kumpiga vita Jide tangu huko ilikotokea hata sasa ni yaleyale lakini nilimshauri Jide mabifu sio fresh hapo malipyoto wanajilambisha majivu na Jide pia anajilambisha hayohayo hakuna atakayeibuka mshindi mbele za mungu kwa kuwa Jide nae kaamua kuingia katika mapambano; vita si juu yako asema bwana kwa kuwa nitakupigania mimi mwenyewe vita iliyo takatifu......
 
Hapana napingana na thread hii ya Gadna, ni ya kumpaka matope mwanaFA tu na si hivyo. Harafu mbona Lady JD anatafuta huruma za watu sku hizi. Wamekuwa wanaiki na Gadna kwa muda mrefu sasa hivi wanajifanya waaonewa
 
Gagna wa kakonko au?? haahahaa watu bhana!!
 
We mleta Uzi huu una uhakika Jide ndo kaanza kutangaza tarehee hii show ya pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…