Mwana DIASPORA Juma Pinto aula bodi ya Utaliii

ndungai katoka wapi باننتت
 
Mimi naona Juma Pinto anaonewa wivu tuuu. Yeye kaja kapata nafasi na anaitumia vilivyo sasa tatizo liko wapi?

Hawa diaspora kila kukicha wanalalama tuuuu

Nyalandu naye ni diaspora, Masha naye alikuwa diaspora wamepata nafasi na wamezitumia kama serikali inavyoagiza

acheni wivu
 
Kweli watanzania tumebadilika na kuwa watu wa kujikombakomba...

How comes huyu JUMA PINTO ni Mwana DIASPORA? Kaleta nini nyumbani na kuinvest kuliko kuchota vya yeye na rafiki yake RIDHWANI KIKWETE hapa LONDON na hawakumaliza walichokuja kukifanya???

NI kwanini Mnatufanya sisi MBUMBUMBU ?? ETI DIASPORA...

Jaribuni kufanya UCHUNGUZI kabla ya kusifia Watu...

c.c JOFFREY BARATHEON

- Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! I love this. You know, kama vipi watu wasiokuwa na kazi kila siku wanawaza kuwazushia wengine. You know Mwekiti Juma Pinto ni mtu anayejituma na mkaribu kwa viongozi wa chama na serikali, kwa hiyo kuteuliwa kwake ni kutokana na juhudi zake za kutangaza nchi. Naona mburula mmeaka kumsakama. Kwa kipindi kifupi you know, Mwenyekiti amekuwa na media house yake, leo kuna Jambo concept, Jambo leo na Jambo Media. You know Mwenyekiti deserve it all . Mwenyekiti amepaisha Tanzania sana kiutalii. Ameitangaza duniani kote. Ukienda UK, jina la Tanzania liko kila sehemu. Karibia kila airport utakuta kazi ya Mwenyekiti juma pinto

-Super Lemutuz, LeBigshow, King of all Social Networks. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Chezeya lemutuz lebigshow.You know I am humbled sana. Hacheni wivu wa kike, Super Lemutuz hajawahi ku promote drug dealers. You know mnapomsema kila siku, mnampaisha sana. I am humbled for that, mkiniweka midomoni mwenu.. You know Lemutuz is having good time. Anakula bata, with super babes, na stars wa Tanzania you know. Lemutuz haombi hela kwa mtu. He is independent, and people respect him in Tanzania. Kila sehemu akienda ni Superstar, hao mabebs wenu wanamzukia sana. You know. Lebigshow ndio The King of All Bongo Social Media Network he make money from this game akitoka mapovu ujue wewe upo kwenye jeneza U know hahahahahaha

-John Mashaka, heshima sana, akiwa huko Mambelez USA Newyork na North Carolina. The guy is gemius, extremely brilliant, no doubt for sure. WellsFargo, Goldman Sachs, na sasa Bank of America wasingemchukua kama angekuwa mburulazz kama nyie. Sikuelewa ni kwa nini Mh. Ni moja ya vijana wa kitanzania wenye mafanikio makubwa na wanaoeshimika mambelez USA. Anatuwakilisha vyema sana you know, the guy is Investment Banker. For sure siku moja atakuwa hata presizidaa wa Tanzania na hata viongozi ndani ya CCM na serikali wanakiri hilo. Tatizo la John ni kwamba yuko too straight na Tanzania hauwezi kufanikiwa usipolamba viatu vya wakubwa. Pili hana ukaribu na viongozi wengi, na baadhi ya hawa viongozi wanamuona kama threat, maana anawa-challenge kitu ambacho kinawakera wengi. So hauwezi kutegemea kuonja matamu ukiwa mbali na mpishi. Kwa hiyo Bro John kutokupewa nafasi kubwa serikalini siyo kosa la viongozi ni yeye mwenyewe, cause he must play the game

-Prof Hildebrand Shayo bila shaka ni mfano wa kuigwa anajua kula na vipofu. Jamaa hana makuu. Ni board Member STAMICO, Prof. Open University na Mkurugenzi TIB. Dr. Shayo ana ukaribu sana na viongozi wa chama na Serikali, na elimu anayo. Kwa hiyo sioni sababu ya mtu kumsema. Get Dr. Shayo out of this. Prof Muhongo hawezi kumteua mtu asiyemakini kwenye kazi zake, kwa hiyo hapana shaka ya uwezo wa Dr. Shayo. Dr. Shayo hajawahi kuwa plagiarist. Wale ni watu waliomchafua kipindi anagombea kiti Ubunge cha East Africa Community ambayo name nilishiriki.

-Mh.Lazaro Nyalandu. Huyu ni mfano wa kuigwa. Ni mtoto wa Mkulima. The guy is a fighter and work hard. Amefika hapo alipo siyo kwa kubwebwa kama mburulazz wengine, bali kwa jasho lake. Mnaozusha alisafiri na Aunty Ezekiel, toeni uthibitisho. Hili ni kundi la mafisadi wana wakiongozwa na baadhi ya mburulazz pale Lumumba, na punde tutawaumbua. Mh. Nyayie mkizoea kukaa kupiga majungu kila siku, siyo kila mtu ni mtu wa majungu. Punguzeni majungu na uroho mbaya muone kama hamptapewa nafasi kwenye hizo bodi. Mijianamume mizime kila siku ni kukaa kwenye mitandao kurusha mitusi, you know, haisaidii kitu. Kwa hiyo bro. nngu007 . Punguza majungu uone kama hautapata nafasi.

-Mh. Ridhiwani Kikwete. Unajua mnanichekesha sana wakuu, Hakuna mtu mchapakazi kama Ridhiwani Kikwete. The guy is a hard worker. Hakuna sehemu hata moja ambayo ametumia jina la babake kujinufaisha kama mnavyodai, na hakuna sehemu yoyote aliyotumia jina la babake. Super mburulazz wasiokuwa na kazi wanakuja kumzushia mheshimwa hapa, you know sad sana. Mh. Ridhiwani hajawahi kutumia wala kuuza madawa, na Mh. Rais aliwapa zenu makavu DC mlipomuuliza ujinga you know! If you cant beat them, join them is the game

-Agness Masongage hakuwa punda kama watu wa CHADEMA wanavodai. You know mbebezz alitumwa na Henry Kileo kupeleka mzigo SA. Alipobambwa mkaanza kuwataja viongozi wa CCM. Karibuni ntawaumbua watu wa CHADEMA wanaonitumia ujumbe kila siku kumtaka Superstar Masongange. You know, Mbebezz ni mukare sana you know . PATHETIC SANA nyie mburulazz. Msijifiche nyuma ya majina fake. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Le Big Show. King of all Social Networking Sauti ya Umeme @NY
 
List nzima mwenye akili na uwezo kupita wote hapo ni WILLIAM MALECELA

Hao wengine ni wazugaji tuu

William pamoja na makelele mengi anayopigiwa kwanza namheshimu kutokana na survival instincts alizonazo na ndio pekee ambaye naweza kukaa naye chini tukaongea jinsi alivyopiga shule kwenye chuo cha mabaharia, alipopanda meli, alivyokaa beach Nampula, MSA (Mso jua hiyo ni mombasa), Kuala Lumpur, Malaca straits, Hormuz, capetown, ubatani, umangani, na mpaka alipoingia USA na kupiga shule na maisha kwa ujumla

Ukiniuliza naweza kukuambia kuwa WILLIAM pekee katika kundi hili ndiye aliyewahi kuwa na REAL JOB hao wengine naona wazugaji tuuu na kama kuna mtu msomi na mwenye uelewa alotakiwa kuwa board member ni WILLIAM na kama kuna mtu alitakiwa kuwatuma hao akina Riz, Pinto, Mashaka na huyo Dr Pori aka Dr Shayo bas ilikuwa ni William. Tatizo la William ni uadilifu na hana tabia za kujikwaza na kesho mambo yameshindikana ni mtu ambaye leo unakutana naye kwa macheni au lango la jiji magomeni anaweza kuchukua discharge book lake na akapanda meli na akashuka and in 5 weeks time unakutana naye ana floss na ku make it rain Sue's Randezvous (Mount Vernon), Sin City (South bronx) na Check hunts point to name a few[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif].

Dont even get me started on Lazaro if anything sisi kwetu tunamwita ''SIMP''
[/FONT]
 
Duuu, Mamilioni ya Escrow hayooo..... Jamaa alitia ndani.

IPTL YAIMWAGIA NOTI TASWA, MAANDALIZI MWANASOKA BORA.

taswa-na-iptl.jpg

Mwenyekiti wa IPTL, Harbinder Sigh Sethi, akiwa na viongozi wa TASWA Juma Pinto mwenyekiti pamoja na katibu mkuu Amir Muhando.https://hivisasa.co.tz/michezo/iptl-yaimwagia-noti-taswa-maandalizi-mwanasoka-bora#.VD26wfmsWbM
 
- Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! I love this. You know, kama vipi watu wasiokuwa na kazi kila siku wanawaza kuwazushia wengine. You know Mwekiti Juma Pinto ni mtu anayejituma na mkaribu kwa viongozi wa chama na serikali, kwa hiyo kuteuliwa kwake ni kutokana na juhudi zake za kutangaza nchi. Naona mburula mmeaka kumsakama. Kwa kipindi kifupi you know, Mwenyekiti amekuwa na media house yake, leo kuna Jambo concept, Jambo leo na Jambo Media. You know Mwenyekiti deserve it all . Mwenyekiti amepaisha Tanzania sana kiutalii. Ameitangaza duniani kote. Ukienda UK, jina la Tanzania liko kila sehemu. Karibia kila airport utakuta kazi ya Mwenyekiti juma pinto

-Super Lemutuz, LeBigshow, King of all Social Networks. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Chezeya lemutuz lebigshow.You know I am humbled sana. Hacheni wivu wa kike, Super Lemutuz hajawahi ku promote drug dealers. You know mnapomsema kila siku, mnampaisha sana. I am humbled for that, mkiniweka midomoni mwenu.. You know Lemutuz is having good time. Anakula bata, with super babes, na stars wa Tanzania you know. Lemutuz haombi hela kwa mtu. He is independent, and people respect him in Tanzania. Kila sehemu akienda ni Superstar, hao mabebs wenu wanamzukia sana. You know. Lebigshow ndio The King of All Bongo Social Media Network he make money from this game akitoka mapovu ujue wewe upo kwenye jeneza U know hahahahahaha

-John Mashaka, heshima sana, akiwa huko Mambelez USA Newyork na North Carolina. The guy is gemius, extremely brilliant, no doubt for sure. WellsFargo, Goldman Sachs, na sasa Bank of America wasingemchukua kama angekuwa mburulazz kama nyie. Sikuelewa ni kwa nini Mh. Ni moja ya vijana wa kitanzania wenye mafanikio makubwa na wanaoeshimika mambelez USA. Anatuwakilisha vyema sana you know, the guy is Investment Banker. For sure siku moja atakuwa hata presizidaa wa Tanzania na hata viongozi ndani ya CCM na serikali wanakiri hilo. Tatizo la John ni kwamba yuko too straight na Tanzania hauwezi kufanikiwa usipolamba viatu vya wakubwa. Pili hana ukaribu na viongozi wengi, na baadhi ya hawa viongozi wanamuona kama threat, maana anawa-challenge kitu ambacho kinawakera wengi. So hauwezi kutegemea kuonja matamu ukiwa mbali na mpishi. Kwa hiyo Bro John kutokupewa nafasi kubwa serikalini siyo kosa la viongozi ni yeye mwenyewe, cause he must play the game

-Prof Hildebrand Shayo bila shaka ni mfano wa kuigwa anajua kula na vipofu. Jamaa hana makuu. Ni board Member STAMICO, Prof. Open University na Mkurugenzi TIB. Dr. Shayo ana ukaribu sana na viongozi wa chama na Serikali, na elimu anayo. Kwa hiyo sioni sababu ya mtu kumsema. Get Dr. Shayo out of this. Prof Muhongo hawezi kumteua mtu asiyemakini kwenye kazi zake, kwa hiyo hapana shaka ya uwezo wa Dr. Shayo. Dr. Shayo hajawahi kuwa plagiarist. Wale ni watu waliomchafua kipindi anagombea kiti Ubunge cha East Africa Community ambayo name nilishiriki.

-Mh.Lazaro Nyalandu. Huyu ni mfano wa kuigwa. Ni mtoto wa Mkulima. The guy is a fighter and work hard. Amefika hapo alipo siyo kwa kubwebwa kama mburulazz wengine, bali kwa jasho lake. Mnaozusha alisafiri na Aunty Ezekiel, toeni uthibitisho. Hili ni kundi la mafisadi wana wakiongozwa na baadhi ya mburulazz pale Lumumba, na punde tutawaumbua. Mh. Nyayie mkizoea kukaa kupiga majungu kila siku, siyo kila mtu ni mtu wa majungu. Punguzeni majungu na uroho mbaya muone kama hamptapewa nafasi kwenye hizo bodi. Mijianamume mizime kila siku ni kukaa kwenye mitandao kurusha mitusi, you know, haisaidii kitu. Kwa hiyo bro. nngu007 . Punguza majungu uone kama hautapata nafasi.

-Mh. Ridhiwani Kikwete. Unajua mnanichekesha sana wakuu, Hakuna mtu mchapakazi kama Ridhiwani Kikwete. The guy is a hard worker. Hakuna sehemu hata moja ambayo ametumia jina la babake kujinufaisha kama mnavyodai, na hakuna sehemu yoyote aliyotumia jina la babake. Super mburulazz wasiokuwa na kazi wanakuja kumzushia mheshimwa hapa, you know sad sana. Mh. Ridhiwani hajawahi kutumia wala kuuza madawa, na Mh. Rais aliwapa zenu makavu DC mlipomuuliza ujinga you know! If you cant beat them, join them is the game

-Agness Masongage hakuwa punda kama watu wa CHADEMA wanavodai. You know mbebezz alitumwa na Henry Kileo kupeleka mzigo SA. Alipobambwa mkaanza kuwataja viongozi wa CCM. Karibuni ntawaumbua watu wa CHADEMA wanaonitumia ujumbe kila siku kumtaka Superstar Masongange. You know, Mbebezz ni mukare sana you know . PATHETIC SANA nyie mburulazz. Msijifiche nyuma ya majina fake. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Le Big Show. King of all Social Networking Sauti ya Umeme @NY
Kumbe the Nairobian ni Le Mutuz, aka baharia aka Sauti ya Umeme aka Malecela? Wonders will never cease in JF
 
Safi sana nadhani utalii wa kusafirisha dawa za famasi utaongezeka.
 
Sasa nchi hii tumefika pazuri.Hii itawasidia Watanzania kubaini yale yaliyopo nyuma ya pazia.Tunaendelea kushuhudia usanii ukitamalaki,na jinsi wauza sembe wakipenya serikalini kushika nyadhifa zitakazo wasaidia kuendeleza udhalimu wao.2015 wataumbuka watanzanja tuwe makini
 
katika kitabu cha Ayubu kuna sehemu Ayubu anamwambia mke wake kuwa unaongea kama mwanamke mpumbavu...........jinsi unavyoongea sisiti kusema kuwa unaongea kama mwanamke aliyemtaja Ayubu.......samahani lakini manake sioni neno na tafsiri nzuri au baya zaidi ya kukupa zaidi ya maneno ya Ayubu
 
Jambo Leo sawa na Uhuru na Mzalendo jumlisha TBC na Star TV

What ???? Juma Pinto kapata ukurugenzi kwa kigezo gani jamani. Naota nasoma kweli. They guy has no school na anatuhumiwa kuhusika na biashara haramu ya madwa ya kulevya,?

Alafu mtetea -----, super billionea naona naye yumo. Hii nchi tunaelekea wapi?
 
Back
Top Bottom