Mwana DIASPORA Juma Pinto aula bodi ya Utaliii

View attachment 566354


Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla akiuliza suali katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia Kongamano la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Bi. Adila Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kongamano la kitafa litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm Redio.
Picha na Makame Mshenga.
Wanabodi.

Declaration of interest. Japo mimi Paskali Mayalla sio mwana Diaspora, bali nimewahi kuishi nje kwa muda mfupi mfupi katika nchi mbalimbali, na nimewahi kufanya kazi tena sio kubeba box, bali kubeba zege ndani ya jiji la London, hivyo nina mwanga kidogo kuhusu diaspora, ila kwenye hili
Kongamano la Nne la Diaspora, litakalo fanyika Zanzibar, tarehe 23 na 24 Agosti, I have a role to play.

Hivyo hili ni bandiko la kuomba ushirikiano wenu, kwa ushiriki wako kwenye kongamano hili, physically or by proxy, ili kutoa mawazo yako Tanzania ikusaidiaje ili kukuwezesha wewe kuisaidia nchi yako.

Tanzania itajengwa na Watanzania wote wakiwemo wana diaspora. Kitu cha kwanza ni kuomba ushiriki wako physically kwa wale wenye nafasi to make it home, wajisajili kupitia
DIASPORA: Home Page
or
4TH Tanzania Diaspora Conference 2017 - Diaspora and SMEs ...

Kwa wale ambao hawatapata nafasi ya kuwepo physically, wanaweza kushiriki by proxy, kwa vile dunia sasa ni kijiji kimoja, wanaweza kushiriki by proxy.

Kwanza The Official Opening ya Kongamano lenyewe litatangazwa live za TV za Tanzania. Pili tutatangaza live kupitia video streaming kwenye youtube hivyo wana diaspora wote wenye nafasi wanaweza kufuatilia kupitia youtube, facebook, tweeter na mitandao ya kijamii.

Hapa naomba ushirikiano wako tujadiliane how to reach you out ili tupate maoni na mawazo yako, Tanzania ikusaidiaje wewe mwana Diaspora ili uweze kuisaidia nchi yako?.

Uzalendo sio kujiuliza "Tanzania Ikusaidie nini, bali ni wewe kujiuliza jee nimeisaidia nini nchi yangu Tanzania?". Kwa vile wana diaspora wengi wako nchi za nje na wamepata bahati ya kupata exposure kubwa, tunaomba mawazo yenu, Tanzania iwasaidieje ili muweze kuisaidia nchi yako Tanzania.

Natanguliza Shukrani.

Pascal Mayalla
+255 784 270403
pascomayalla@gmail.com
 
According to Mwana JF aka GREAT THINKER aka INDEPENDENT THINKER mwenzetu bwana KIBANGA AMPINGA MKOLONI, Mwana DIASPORA kwa jina la Juma Pinto ambaye ni mfano bora na wa kuigwa na wanadiaspora wengine ameteuliwa kuingia kwenye bodi ya Ngorongoro (ndio hiyo hiyo ya Utaliii zote humo humo). Uteuzi wa Pinto ni ushahidi tosha kuwa anafaa kutokana na michango yake tya Kuitangaza Tanzania alipokuwa ughaibuni na vile vile kitendo chake cha kiungwana na kuja kuendeleza Taifa kwa Ujumla.

Pinto ambaye pia ni mmiliki wa gazeti la JAMBO LEO na JAMBO MEDIA , CITY BAR na shughuli zinginezo amekuwa mtu mwenye kuhangaika na kutumia nafasi ambazo wana diaspora wengine wamekuwa wakisema hazipo au wanazibiwa na wengine wanakuja humu kumzilia maneno mengiii bila kuwa na ushahidi badala ya kumuunga mkono huyu kijana mwenzetu. Sasa cha kujiuliza Pinto kawashinda nini hao tunaoambiwa wamesoma na kubobea na ma digirii kem kema kama vile akina John Mashaka na yule mwingine Dr Shayo aka ''Dr Plagiarist '' ambaye aliingizwa kwenye bodi ya TPA kimagumashi japo uwezo wake ulikuwa questionable. Hivi inawezekana vipi watu wasomi kama 'Dr' Blandina Nyoni, Waziri Lazaro Nyalandu wengine waone talents za Juma Pinto halafu hawa na 'arm chair critics' wa Juma humu JF wasione?

Kwa kweli kama juma Pinto ameweza na anatumia nafasi zilizopo ni kielelzo tosha kuwa huhitaji kuwa na mavyeti luluki au ukajuana na watu serikalini ili ufanikiwe. Mimi nasema kuwa Juma pinto aungwe mkono na ya nchi hii imewezakatambua uwezo wake na ni kielelezo tosha kuwa hard work pays. Nashauri ikiwezekana apewe tenda ya kuitangaza Tanzania na pia ikiwezekana apewe na tenda za kupiga vita uwindaji haramu wa pembe za ndovu, kuingiza madawa kule MSD na zinginezo kwani uwezo anao ame prove himself na anatoa ajira kwa vijana wakitanzania na sio hawa wadosi ambao hawana lolote. Kama wengine hawawezi kaaeni pembeni.

Hongera sana Pinto aka mtoto wa Tandika mabatini. Na sioni cha kumzuia kupata ubunge wa Temeke 2015 maana ameonyesha kuwa huhitaji kuwa na MBA ya Harvard au kuwa high performing Hedge Fund-Rates Product Control wa Goldman Sachs ili iwe unaweza wa kufanya haya makubwa na mazito aliyoyafanya huyu Juma Pinto na Division IV ya skuli ya BAKWATA. Kama nchi hii ina mawaziri wana degrees feki ndio itakuwa Pinto kutokuwa board member ? Nasema hiviii huyu ndio diaspora mwenye AKILI NYINGIIIII kuliko wote.


NCAA'S New Board of Directors Inaugurated

board2.gif

A ten member Board of Directors for Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) was inaugurated on June 30, 2014 by the Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu at Ngorongoro Conservation Area Authority headquarters. The new Board of directors will be chaired by former Ambassador to the US and a prominent lawyer Mwanaid Maajar following her appointment by President Jakaya Kikwete on May 27, 2014.

The board members are the Deputy Speaker of the National Assembly Hon. Job Ndugai, Conservator of Ngorongoro Doctor Freddy Manongi who is also the secretary to the Board, Mr Juma Pinto, Doctor David Mrisho, Mr Laban Moruo and Mr Lukonge P. Mhandagani. Others are Mr Donatius Kamamba, Mr. Lucas Seleli and Mr Metui Ole Shaudo who is the chairman for Ngorongoro Pastoralists Council. The inauguration ceremony was witnessed by other Ministry's senior officials and executives including the Deputy Minister Hon. Mahmoud Mgimwa and the Ministry's Permanent Secretary Maimuna Tarish. NCAA&[HASHTAG]#8216[/HASHTAG];s members of staff and resident communities of Ngorongoro were also in attendance.

Mabilioni ya PR ya Nyalandu huko Uingereza


Jambazi
 
Back
Top Bottom