Mwana DIASPORA Juma Pinto aula bodi ya Utaliii

According to Mwana JF aka GREAT THINKER aka INDEPENDENT THINKER mwenzetu bwana KIBANGA AMPINGA MKOLONI, Mwana DIASPORA kwa jina la Juma Pinto ambaye ni mfano bora na wa kuigwa na wanadiaspora wengine ameteuliwa kuingia kwenye bodi ya Ngorongoro (ndio hiyo hiyo ya Utaliii zote humo humo). Uteuzi wa Pinto ni ushahidi tosha kuwa anafaa kutokana na michango yake tya Kuitangaza Tanzania alipokuwa ughaibuni na vile vile kitendo chake cha kiungwana na kuja kuendeleza Taifa kwa Ujumla.

Pinto ambaye pia ni mmiliki wa gazeti la JAMBO LEO na JAMBO MEDIA , CITY BAR na shughuli zinginezo amekuwa mtu mwenye kuhangaika na kutumia nafasi ambazo wana diaspora wengine wamekuwa wakisema hazipo au wanazibiwa na wengine wanakuja humu kumzilia maneno mengiii bila kuwa na ushahidi badala ya kumuunga mkono huyu kijana mwenzetu. Sasa cha kujiuliza Pinto kawashinda nini hao tunaoambiwa wamesoma na kubobea na ma digirii kem kema kama vile akina John Mashaka na yule mwingine Dr Shayo aka
''Dr Plagiarist '' ambaye aliingizwa kwenye bodi ya TPA kimagumashi japo uwezo wake ulikuwa questionable. Hivi inawezekana vipi watu wasomi kama 'Dr' Blandina Nyoni, Waziri Lazaro Nyalandu wengine waone talents za Juma Pinto halafu hawa na 'arm chair critics' wa Juma humu JF wasione?

Kwa kweli kama juma Pinto ameweza na anatumia nafasi zilizopo ni kielelzo tosha kuwa huhitaji kuwa na mavyeti luluki au ukajuana na watu serikalini ili ufanikiwe. Mimi nasema kuwa Juma pinto aungwe mkono na ya nchi hii imewezakatambua uwezo wake na ni kielelezo tosha kuwa hard work pays. Nashauri ikiwezekana apewe tenda ya kuitangaza Tanzania na pia ikiwezekana apewe na tenda za kupiga vita uwindaji haramu wa pembe za ndovu, kuingiza madawa kule MSD na zinginezo kwani uwezo anao ame prove himself na anatoa ajira kwa vijana wakitanzania na sio hawa wadosi ambao hawana lolote. Kama wengine hawawezi kaaeni pembeni.

Hongera sana Pinto aka mtoto wa Tandika mabatini. Na sioni cha kumzuia kupata ubunge wa Temeke 2015 maana ameonyesha kuwa huhitaji kuwa na MBA ya Harvard au kuwa high performing Hedge Fund-Rates Product Control wa Goldman Sachs ili iwe unaweza wa kufanya haya makubwa na mazito aliyoyafanya huyu Juma Pinto na Division IV ya skuli ya BAKWATA. Kama nchi hii ina mawaziri wana degrees feki ndio itakuwa Pinto kutokuwa board member ? Nasema hiviii huyu ndio diaspora mwenye AKILI NYINGIIIII kuliko wote.

NCAA'S New Board of Directors Inaugurated

]
board2.gif

A ten member Board of Directors for Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA) was inaugurated on June 30, 2014 by the Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu at Ngorongoro Conservation Area Authority headquarters. The new Board of directors will be
chaired by former Ambassador to the US and a prominent lawyer Mwanaid Maajar following her appointment by President Jakaya Kikwete on May 27, 2014.

The board members are the Deputy Speaker of the National Assembly Hon. Job Ndugai,
Conservator of Ngorongoro Doctor Freddy Manongi who is also the secretary to the Board,
Mr Juma Pinto,
Doctor David Mrisho,
Mr Laban Moruo and
Mr Lukonge P. Mhandagani.
Others are Mr Donatius Kamamba,
Mr. Lucas Seleli and
Mr Metui Ole Shaudo who is the chairman for Ngorongoro Pastoralists Council.

The inauguration ceremony was witnessed by other Ministry's senior officials and executives including the Deputy Minister Hon. Mahmoud Mgimwa and the Ministry's Permanent Secretary Maimuna Tarish. NCAA‘s members of staff and resident communities of Ngorongoro were also in attendance.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/741183-mabilioni-ya-pr-ya-nyalandu-huko-uingereza-3.html

Juma Pinto amekulipa shilingi ngapi? Maana umejitahidi kwa kweli....asipokulipa njoo ukanushe maneno yote ya hapo juu.
 
- Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! I love this. You know, kama vipi watu wasiokuwa na kazi kila siku wanawaza kuwazushia wengine. You know Mwekiti Juma Pinto ni mtu anayejituma na mkaribu kwa viongozi wa chama na serikali, kwa hiyo kuteuliwa kwake ni kutokana na juhudi zake za kutangaza nchi. Naona mburula mmeaka kumsakama. Kwa kipindi kifupi you know, Mwenyekiti amekuwa na media house yake, leo kuna Jambo concept, Jambo leo na Jambo Media. You know Mwenyekiti deserve it all . Mwenyekiti amepaisha Tanzania sana kiutalii. Ameitangaza duniani kote. Ukienda UK, jina la Tanzania liko kila sehemu. Karibia kila airport utakuta kazi ya Mwenyekiti juma pinto

-Super Lemutuz, LeBigshow, King of all Social Networks. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Chezeya lemutuz lebigshow.You know I am humbled sana. Hacheni wivu wa kike, Super Lemutuz hajawahi ku promote drug dealers. You know mnapomsema kila siku, mnampaisha sana. I am humbled for that, mkiniweka midomoni mwenu.. You know Lemutuz is having good time. Anakula bata, with super babes, na stars wa Tanzania you know. Lemutuz haombi hela kwa mtu. He is independent, and people respect him in Tanzania. Kila sehemu akienda ni Superstar, hao mabebs wenu wanamzukia sana. You know. Lebigshow ndio The King of All Bongo Social Media Network he make money from this game akitoka mapovu ujue wewe upo kwenye jeneza U know hahahahahaha

-John Mashaka, heshima sana, akiwa huko Mambelez USA Newyork na North Carolina. The guy is gemius, extremely brilliant, no doubt for sure. WellsFargo, Goldman Sachs, na sasa Bank of America wasingemchukua kama angekuwa mburulazz kama nyie. Sikuelewa ni kwa nini Mh. Ni moja ya vijana wa kitanzania wenye mafanikio makubwa na wanaoeshimika mambelez USA. Anatuwakilisha vyema sana you know, the guy is Investment Banker. For sure siku moja atakuwa hata presizidaa wa Tanzania na hata viongozi ndani ya CCM na serikali wanakiri hilo. Tatizo la John ni kwamba yuko too straight na Tanzania hauwezi kufanikiwa usipolamba viatu vya wakubwa. Pili hana ukaribu na viongozi wengi, na baadhi ya hawa viongozi wanamuona kama threat, maana anawa-challenge kitu ambacho kinawakera wengi. So hauwezi kutegemea kuonja matamu ukiwa mbali na mpishi. Kwa hiyo Bro John kutokupewa nafasi kubwa serikalini siyo kosa la viongozi ni yeye mwenyewe, cause he must play the game

-Prof Hildebrand Shayo bila shaka ni mfano wa kuigwa anajua kula na vipofu. Jamaa hana makuu. Ni board Member STAMICO, Prof. Open University na Mkurugenzi TIB. Dr. Shayo ana ukaribu sana na viongozi wa chama na Serikali, na elimu anayo. Kwa hiyo sioni sababu ya mtu kumsema. Get Dr. Shayo out of this. Prof Muhongo hawezi kumteua mtu asiyemakini kwenye kazi zake, kwa hiyo hapana shaka ya uwezo wa Dr. Shayo. Dr. Shayo hajawahi kuwa plagiarist. Wale ni watu waliomchafua kipindi anagombea kiti Ubunge cha East Africa Community ambayo name nilishiriki.

-Mh.Lazaro Nyalandu. Huyu ni mfano wa kuigwa. Ni mtoto wa Mkulima. The guy is a fighter and work hard. Amefika hapo alipo siyo kwa kubwebwa kama mburulazz wengine, bali kwa jasho lake. Mnaozusha alisafiri na Aunty Ezekiel, toeni uthibitisho. Hili ni kundi la mafisadi wana wakiongozwa na baadhi ya mburulazz pale Lumumba, na punde tutawaumbua. Mh. Nyayie mkizoea kukaa kupiga majungu kila siku, siyo kila mtu ni mtu wa majungu. Punguzeni majungu na uroho mbaya muone kama hamptapewa nafasi kwenye hizo bodi. Mijianamume mizime kila siku ni kukaa kwenye mitandao kurusha mitusi, you know, haisaidii kitu. Kwa hiyo bro. nngu007 . Punguza majungu uone kama hautapata nafasi.

-Mh. Ridhiwani Kikwete. Unajua mnanichekesha sana wakuu, Hakuna mtu mchapakazi kama Ridhiwani Kikwete. The guy is a hard worker. Hakuna sehemu hata moja ambayo ametumia jina la babake kujinufaisha kama mnavyodai, na hakuna sehemu yoyote aliyotumia jina la babake. Super mburulazz wasiokuwa na kazi wanakuja kumzushia mheshimwa hapa, you know sad sana. Mh. Ridhiwani hajawahi kutumia wala kuuza madawa, na Mh. Rais aliwapa zenu makavu DC mlipomuuliza ujinga you know! If you cant beat them, join them is the game

-Agness Masongage hakuwa punda kama watu wa CHADEMA wanavodai. You know mbebezz alitumwa na Henry Kileo kupeleka mzigo SA. Alipobambwa mkaanza kuwataja viongozi wa CCM. Karibuni ntawaumbua watu wa CHADEMA wanaonitumia ujumbe kila siku kumtaka Superstar Masongange. You know, Mbebezz ni mukare sana you know . PATHETIC SANA nyie mburulazz. Msijifiche nyuma ya majina fake. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Le Big Show. King of all Social Networking Sauti ya Umeme @NY

Nairobian Hizo ndio shida za ELIMU ya KATA ? sijui hao wote uliowaongelea wametoka wapi... I just mentioned JUMA PINTO na RIDHIWANI KIKWETE...

Nina proof kuwa wanajuana; nina proof kuwa Kuitangaza nchi kiutalii pesa zilikuwa sio za kwake alikuwa Money-less just like anyother Tanzanian in FOREIGN COUNTRY; Hakuna kutukanana hapa ni kupatiana habari na kuelezana ni jinsi gani nchi yetu tunaila bila sisi wengine kujua...

Demokrasia ya kweli ikiingia nchini wengi wataumia - sijui nyie mtakimbilia wapi kwasababu ukweli utawatoa UVUNGUNI...

Angalia hii issue ya WORLD BANK na NCHI wahisani kugoma kutoa PESA za kutusaidia BAJETI YETU; hii ni BAJETI ya 2015... wewe Unaruka ruka na kuteuliwa kwa JUMA PINTO BODI ya NGORONGORO haujui kama atalipwa pesa za mahudhurio ya hiyo MIKUTANO...

Remember WHAT GOES AROUND WILL COME BACK TO HUNT U...
 
- Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! I love this. You know, kama vipi watu wasiokuwa na kazi kila siku wanawaza kuwazushia wengine. You know Mwekiti Juma Pinto ni mtu anayejituma na mkaribu kwa viongozi wa chama na serikali, kwa hiyo kuteuliwa kwake ni kutokana na juhudi zake za kutangaza nchi. Naona mburula mmeaka kumsakama. Kwa kipindi kifupi you know, Mwenyekiti amekuwa na media house yake, leo kuna Jambo concept, Jambo leo na Jambo Media. You know Mwenyekiti deserve it all . Mwenyekiti amepaisha Tanzania sana kiutalii. Ameitangaza duniani kote. Ukienda UK, jina la Tanzania liko kila sehemu. Karibia kila airport utakuta kazi ya Mwenyekiti juma pinto

-Super Lemutuz, LeBigshow, King of all Social Networks. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Chezeya lemutuz lebigshow.You know I am humbled sana. Hacheni wivu wa kike, Super Lemutuz hajawahi ku promote drug dealers. You know mnapomsema kila siku, mnampaisha sana. I am humbled for that, mkiniweka midomoni mwenu.. You know Lemutuz is having good time. Anakula bata, with super babes, na stars wa Tanzania you know. Lemutuz haombi hela kwa mtu. He is independent, and people respect him in Tanzania. Kila sehemu akienda ni Superstar, hao mabebs wenu wanamzukia sana. You know. Lebigshow ndio The King of All Bongo Social Media Network he make money from this game akitoka mapovu ujue wewe upo kwenye jeneza U know hahahahahaha

-John Mashaka, heshima sana, akiwa huko Mambelez USA Newyork na North Carolina. The guy is gemius, extremely brilliant, no doubt for sure. WellsFargo, Goldman Sachs, na sasa Bank of America wasingemchukua kama angekuwa mburulazz kama nyie. Sikuelewa ni kwa nini Mh. Ni moja ya vijana wa kitanzania wenye mafanikio makubwa na wanaoeshimika mambelez USA. Anatuwakilisha vyema sana you know, the guy is Investment Banker. For sure siku moja atakuwa hata presizidaa wa Tanzania na hata viongozi ndani ya CCM na serikali wanakiri hilo. Tatizo la John ni kwamba yuko too straight na Tanzania hauwezi kufanikiwa usipolamba viatu vya wakubwa. Pili hana ukaribu na viongozi wengi, na baadhi ya hawa viongozi wanamuona kama threat, maana anawa-challenge kitu ambacho kinawakera wengi. So hauwezi kutegemea kuonja matamu ukiwa mbali na mpishi. Kwa hiyo Bro John kutokupewa nafasi kubwa serikalini siyo kosa la viongozi ni yeye mwenyewe, cause he must play the game

-Prof Hildebrand Shayo bila shaka ni mfano wa kuigwa anajua kula na vipofu. Jamaa hana makuu. Ni board Member STAMICO, Prof. Open University na Mkurugenzi TIB. Dr. Shayo ana ukaribu sana na viongozi wa chama na Serikali, na elimu anayo. Kwa hiyo sioni sababu ya mtu kumsema. Get Dr. Shayo out of this. Prof Muhongo hawezi kumteua mtu asiyemakini kwenye kazi zake, kwa hiyo hapana shaka ya uwezo wa Dr. Shayo. Dr. Shayo hajawahi kuwa plagiarist. Wale ni watu waliomchafua kipindi anagombea kiti Ubunge cha East Africa Community ambayo name nilishiriki.

-Mh.Lazaro Nyalandu. Huyu ni mfano wa kuigwa. Ni mtoto wa Mkulima. The guy is a fighter and work hard. Amefika hapo alipo siyo kwa kubwebwa kama mburulazz wengine, bali kwa jasho lake. Mnaozusha alisafiri na Aunty Ezekiel, toeni uthibitisho. Hili ni kundi la mafisadi wana wakiongozwa na baadhi ya mburulazz pale Lumumba, na punde tutawaumbua. Mh. Nyayie mkizoea kukaa kupiga majungu kila siku, siyo kila mtu ni mtu wa majungu. Punguzeni majungu na uroho mbaya muone kama hamptapewa nafasi kwenye hizo bodi. Mijianamume mizime kila siku ni kukaa kwenye mitandao kurusha mitusi, you know, haisaidii kitu. Kwa hiyo bro. nngu007 . Punguza majungu uone kama hautapata nafasi.

-Mh. Ridhiwani Kikwete. Unajua mnanichekesha sana wakuu, Hakuna mtu mchapakazi kama Ridhiwani Kikwete. The guy is a hard worker. Hakuna sehemu hata moja ambayo ametumia jina la babake kujinufaisha kama mnavyodai, na hakuna sehemu yoyote aliyotumia jina la babake. Super mburulazz wasiokuwa na kazi wanakuja kumzushia mheshimwa hapa, you know sad sana. Mh. Ridhiwani hajawahi kutumia wala kuuza madawa, na Mh. Rais aliwapa zenu makavu DC mlipomuuliza ujinga you know! If you cant beat them, join them is the game

-Agness Masongage hakuwa punda kama watu wa CHADEMA wanavodai. You know mbebezz alitumwa na Henry Kileo kupeleka mzigo SA. Alipobambwa mkaanza kuwataja viongozi wa CCM. Karibuni ntawaumbua watu wa CHADEMA wanaonitumia ujumbe kila siku kumtaka Superstar Masongange. You know, Mbebezz ni mukare sana you know . PATHETIC SANA nyie mburulazz. Msijifiche nyuma ya majina fake. Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Le Big Show. King of all Social Networking Sauti ya Umeme @NY

Mods mnamlea sana huyu kubwa jinga, yes kubwa jinga kwa upuuzi wake wa kishenzishenzi huku akitumia multiple ids!!

Paragraph ya mwisho kwa kuitaja CHADEMA na Henry Kileo kuwa ndio waliomtuma mtuma Masogange kusafirisha madawa South inathibitisha ushenzi wake wa kuzusha kwa wasiohusika wakati anatetea mabwana zake!!!
 
Kweli watanzania tumebadilika na kuwa watu wa kujikombakomba...

How comes huyu JUMA PINTO ni Mwana DIASPORA? Kaleta nini nyumbani na kuinvest kuliko kuchota vya yeye na rafiki yake RIDHWANI KIKWETE hapa LONDON na hawakumaliza walichokuja kukifanya???

NI kwanini Mnatufanya sisi MBUMBUMBU ?? ETI DIASPORA...

Jaribuni kufanya UCHUNGUZI kabla ya kusifia Watu...

c.c JOFFREY BARATHEON

Na mie nimeshangaa jinsi alivyomsifia huyo bwanake, maana mpaka ikabidi niache kusoma na kuangalia nani ameposti upuuzi huu, Pinto anajulikana uswahiba wake na REiz1, Biashara zao pia zajulikana vizuri mtaani, Pinto anajulikana vizuri tu kwa kujikomba ndani ya CCM kupitia gazeti lao (lao) la Jambo Leo, hivyo hata yeye kupewa u member bodi ya utalii hakuna kinachoshangaza, na hata akigombea huo ubunge kupitia chama chao cha CCM pia hakuna jipya ambalo litashangaza watanzania.
 
Itakuwa ni uonevu kama wakina Papa Msofe nao hawatapewa nafasi kama hizi. Usishangae ndiye anayesuka dili la helicopters uchina
 
List ya wauza unga ninayo. Naona ameamua kuwapa madaraka kulingana na list maana wamelitangaza jina la nchi yetu nje ya nchi, hususan China na tumepata wawekezaji na wafanyabiasha wengi kutoka china, baada ya Tanzania kuvuma huko kutokana na watu muhimu amabao List ya majina yao iko Ikulu. Hongereni watengenezaji wa panadol. Hongereni kwa utalii wa nje.
 
Hivi kuna mijitu mijinga sana namna hii humu?
yani watu wanasihindwa hata kusoma kitu na kutafakari na kuelewa kuwa mleta mada na aliyejifanya Le mutzu wameleta mada kinyumenyume?

DuH!
kazi ipo na hii elimu ya kata.
 
Duh,this is now going to the "extreme" juma pinto namfahamu vzr sana sasa kweli nchi yetu inakwenda pasipo ni htr sana kwakweli lkn lzm km watanzania tuondokane na huu uozo
 
Back
Top Bottom