Mwana CCM yoyote akinijibu hili nahamia CCM

Nipe mfano mmoja tu wa nchi iliyo na huduma moja ya jamii inayopatikana kwa ukamilifu wake ndio urudi huku kwenye 3th world country yako.

nikuulize sisi tutabaki 3th world country hadi lini wakati wana ccm wenzako wameficha hela uswiss amabazo zingetosha kujenga reli hapa tz? una akili wewe?
 
unajua kusoma kweli wewe? nahitaji huduma moja tu ya kijamii inayopatikana tanzania nzima kwa uhakika na siyo vipande vya huduma.
Wewe ndio unataka free meals bila ya kufanya kazi
 
Hata Marekani hawawezi kutimiza kila kitu

elewa swali we mburula kisha ujibu kutokana na jinsi ulivyoulizwa.
unaonesha umburula wako hata ktk swali dogo la hivi!!

ok najua utakuwa unahitaji msaada labda kutokana na mtindio wa ubongo ulionao.

kwa kukusaidia,
sema ni huduma ya safari za mh. jk kwenda nje ya nchi na bakuli la matonya.

mbona rahisi tu wewe bumunda!!

kweli huko mmejazana mizoga tupu.
 
Ccm imeongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, swalilangu ni hili,

Ni huduma gani yoyote ya kijamii inayopatikana hapa nchini kwa uhakika tangu mshike madaraka?.

Democracy iliyoruhusu kuweza kupata vyama vingi vya siasa, giving ppl fredom of political choice. Roads giving accesebility in many areas which were not reachable. Nk
 
si kosa lako, swali ni zuli sana ila uwezo wako wa kuelewa ndio mdogo, nakukumbuka sana kwa kitendochako cha kuwatenganisha wazazi wako kisa baba yako ni mlevi na mgonvi? dhambi hiyo bado inakutafuna. jalibu kuimage tanzania ya miaka 20 iliyopita na sasa kisha ujijibu na kukaa kimya.

sasa cc swala la wazazi wake linatuhusu nn? jibu swali acha upumbavu huduma gani ya jamii chama cha mavi mmefanya miaka 50 ilopita?
 
Umeme kabla ulikua dar es salaam na makao ya mikoa michache sasa wamewekeza mtera.kidatu.pangani.na sasa gas ya songosongo umeme angalau unapatikana
Afya kila mkoa na wilaya zote kuna kuna hospitali za serikali kina mama wanajifungua bure
Mhimbili universty inatoa madaktari zaidi 200 kila mwaka
Maji ya bomba yalikuwepo Dar pekee sasa mpaka kichaka punda yanapatikana
Kilimo sasa tumeanza kuondokana na jembe la mkono kwenda machine za kisasa na uzalishaji chakula umekua kiasi ya kuuza nje na tunaagiza chakula kichache sana
Usafiri karibu mikoa yote sasa imeunganishwa na bara bara za lami .ambapo kabla ya uhuru barabara ilikua dar to arusha pekee
Tazara m ni mradi mkubwa wa reli afrika umesaidia sana huduma rahisi za usafiri kutoka Dar makambako mpaka zambia
Safari za ndege nje zilikua chache sasa zipo kila siku japo ndege zetu wenywe hatujafanikiwa
Elimu kabla hatukua na universiity sasa tuna Uni za serikali 4 na za binafsi karibu 40 kwa pamoja zinahitimisha wanafunzi 40000 kwa mwaka huku Udom ikitarajiwa kuwa chuo kikubwa zaidi afrika
Michezo bado tunasua lakini tumeshawahi kuwa mabingwa wa dunia riadha na marathon na sasa tuna viwanja vizuri vya miichezo na timu kubwa kama Brazil zimetembelea hapa
Mawasiliano ya njia za simu yameimarika kutoka simu 20000 kabla ya uhuru mpaka simu 25m sasa hivi
Radio station moja kabla sasa zaidi ya 100
Hatukua na TV station kabla sasa zipo digital Tv station zaid ya 20 local chanels
Toka gazeti moja kwa siku mpaka daily zaidi ya 20 na weekly zaidi ya 10
Viwanda sasa vipo vingi . Vya sukari pamba unga nk kabla hakuna kiwanda.
Sukari inazalishwa ya kujitosheleza nchini
Huduma ya maji ni bei poa sana na imewezeshwa kwa kiasi
Usalama wetu pia ni huduma moja ambayo serikali imetuhakikishia
Imejenga huduma za kisasa za masoko mfano kariakoo na feri
Miji yetu kama Dar unaimarika kwa barabara kupanuka na sasa mradi mzuri wa kisasa wa rapid bus ni wa kujivunia.karibuni tutakuwa na fly over sehemu za ubungo na Tazara
Kwa mara ya kwanza huduma ya usafiri kwenda ngambo ya kigamboni itaunganishwa kwa daraja la kigamboni.usafiri baharini umeimarika kwa kujenga ferries na kule znz boti za kisasa zipo

Ukweli wa mambo mengi ya msingi yamefanywa ilichobaki ni kuyaendeleza yaboreke zaidi
Msingi imara tayari zimewekwa na taritibu zipo nzuri kabisa uboreshaji tu ndio jambo linalotakiwa.sheria za nchi nyingi ni kwa maslahi yetu na taifa na sasa katiba ya wana mchi wenyewe ipo kwenye mchakato
Hapa bwana mkubwa kinachotakiwa kubwa ni kuacha kubweteka kudhani huduma kutoka serikalini ni bure hivo kulemaa .
kazi ndio msingi wa maendeleo
Serikali haipo kutoa free meals ukweli imejitahidi ku play their role sasa ni zamu yako na yangu kuhakisha tunapata huduma bora zaidi.huo ndio mwarubaini
Mwisho nimesahau kabla hatukua na jamii forum na bloggers sasa tuna zaid ya blogs na forum 200 ambazo zinasaidia kuchangamsha serikali

:thumbup:
 
mkuu ninakupa like japo ya moyoni kwani natumia ka simu mchina.
hata kama unalipwa 7000 umejihidi japo hujatoa jibu sahihi.
ni huduma gani ya kijamii inapatikana kwa uhakika toka ccm imetutawala kwa Miaka 50 ? yaani ukienda mijini ipo na vijijini ipo kwa kiwango hichohicho

Elimu na shule mkoa una shule
Pili hospitali kila mkoa una hospital
Tatu maji kila mkoa una maji
Nne usafiri kila mkoa una lami
 
Umeme kabla ulikua dar es salaam na makao ya mikoa michache sasa wamewekeza mtera.kidatu.pangani.na sasa gas ya songosongo umeme angalau unapatikana
Afya kila mkoa na wilaya zote kuna kuna hospitali za serikali kina mama wanajifungua bure
Mhimbili universty inatoa madaktari zaidi 200 kila mwaka
Maji ya bomba yalikuwepo Dar pekee sasa mpaka kichaka punda yanapatikana
Kilimo sasa tumeanza kuondokana na jembe la mkono kwenda machine za kisasa na uzalishaji chakula umekua kiasi ya kuuza nje na tunaagiza chakula kichache sana
Usafiri karibu mikoa yote sasa imeunganishwa na bara bara za lami .ambapo kabla ya uhuru barabara ilikua dar to arusha pekee
Tazara m ni mradi mkubwa wa reli afrika umesaidia sana huduma rahisi za usafiri kutoka Dar makambako mpaka zambia
Safari za ndege nje zilikua chache sasa zipo kila siku japo ndege zetu wenywe hatujafanikiwa
Elimu kabla hatukua na universiity sasa tuna Uni za serikali 4 na za binafsi karibu 40 kwa pamoja zinahitimisha wanafunzi 40000 kwa mwaka huku Udom ikitarajiwa kuwa chuo kikubwa zaidi afrika
Michezo bado tunasua lakini tumeshawahi kuwa mabingwa wa dunia riadha na marathon na sasa tuna viwanja vizuri vya miichezo na timu kubwa kama Brazil zimetembelea hapa
Mawasiliano ya njia za simu yameimarika kutoka simu 20000 kabla ya uhuru mpaka simu 25m sasa hivi
Radio station moja kabla sasa zaidi ya 100
Hatukua na TV station kabla sasa zipo digital Tv station zaid ya 20 local chanels
Toka gazeti moja kwa siku mpaka daily zaidi ya 20 na weekly zaidi ya 10
Viwanda sasa vipo vingi . Vya sukari pamba unga nk kabla hakuna kiwanda.
Sukari inazalishwa ya kujitosheleza nchini
Huduma ya maji ni bei poa sana na imewezeshwa kwa kiasi
Usalama wetu pia ni huduma moja ambayo serikali imetuhakikishia
Imejenga huduma za kisasa za masoko mfano kariakoo na feri
Miji yetu kama Dar unaimarika kwa barabara kupanuka na sasa mradi mzuri wa kisasa wa rapid bus ni wa kujivunia.karibuni tutakuwa na fly over sehemu za ubungo na Tazara
Kwa mara ya kwanza huduma ya usafiri kwenda ngambo ya kigamboni itaunganishwa kwa daraja la kigamboni.usafiri baharini umeimarika kwa kujenga ferries na kule znz boti za kisasa zipo

Ukweli wa mambo mengi ya msingi yamefanywa ilichobaki ni kuyaendeleza yaboreke zaidi
Msingi imara tayari zimewekwa na taritibu zipo nzuri kabisa uboreshaji tu ndio jambo linalotakiwa.sheria za nchi nyingi ni kwa maslahi yetu na taifa na sasa katiba ya wana mchi wenyewe ipo kwenye mchakato
Hapa bwana mkubwa kinachotakiwa kubwa ni kuacha kubweteka kudhani huduma kutoka serikalini ni bure hivo kulemaa .
kazi ndio msingi wa maendeleo
Serikali haipo kutoa free meals ukweli imejitahidi ku play their role sasa ni zamu yako na yangu kuhakisha tunapata huduma bora zaidi.huo ndio mwarubaini
Mwisho nimesahau kabla hatukua na jamii forum na bloggers sasa tuna zaid ya blogs na forum 200 ambazo zinasaidia kuchangamsha serikali

wewe inaonekana swali hukuelewa huduma zote unazotaja hakuna hata moja iloyokamilika. zote zimefanikiwa kwa kiasi kidogo sana ndo maana mifano yako haipataji kwetu Rwekubo, nyabusozi, kibalizi, kitwe che mbogo na kwingine kwingi maana huduma hizo hazijafika.
 
jibu swali,unalipwa hela za bure 7000 kila siku?majibu huna!

Watatwambia akili za Bavicha hadi wazeeke, sisi tutaendelea kuhitaji majibu ya swali hili. Humu jf wapo viongozi wa ngazi zote za serikali na ccm, tunahitaji majibu!!! Mods, tafadhalini sana hili swali liwe STIKY hadi majibu yapatikane. Hatuwezi kuwa tunasoma upuuzi wa wapuuzi wachache humu jf wakati kuna viongozi wenye kutoa majibu sahihi kwa maswli sahihi.
 
Back
Top Bottom