Mwana CCM yoyote akinijibu hili nahamia CCM

Mwana CCM yoyote akinijibu hili nahamia CCM

si kosa lako, swali ni zuli sana ila uwezo wako wa kuelewa ndio mdogo, nakukumbuka sana kwa kitendochako cha kuwatenganisha wazazi wako kisa baba yako ni mlevi na mgonvi? dhambi hiyo bado inakutafuna. jalibu kuimage tanzania ya miaka 20 iliyopita na sasa kisha ujijibu na kukaa kimya.
mwana ccm? uwezowako wa kufikiri ndipoulipoishia? waite na misikule wenzako basi hata wakusaidie.
 
Hata mh kikwete atakwambia haijui huduma yoyote ya kijamii inayopatikana kwa uhakika...ukimuuliza ni kwa nini hajui,atakwambia hajuwi ni kwa nini hajuwi...na tena hajui ni kwa nini watanzania ni maskini
 
Hata Marekani hawawezi kutimiza kila kitu
We bichwa lako gumu sana kuelewa eeh?
Umeulizwa huduma gani, at least moja inayopatikana kwa uhakika...wewe unajibu kuwa hata Marekani hawatimizi kila kitu!!
My butt...!, hilo ndiyo jibu la swali la mleta mada?

Mkuu jaribu kuemploy japo minimum common-sense kwenye vitu unavyopost JF!
 
Halafu ccm haihitaji watu wenye akili za kibavicha.
 
Ccm imeongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, swalilangu ni hili,

Ni huduma gani yoyote ya kijamii inayopatikana hapa nchini kwa uhakika tangu mshike madaraka?.

Huduma ya kwanza na bora kuliko zote ni ngono kwenye mbio za mwenge. Hii huduma imekuwa bora na maarufu kwa kuondoa bikra za mabinti wadogo.
Huduma nyingine bora ni Undalichakolism. F haijawahi kukosekana tokea uhuru hadi sasa


Haya hamia ccm kamanda
 
mimi sikuwahi kuota kama ningetoka mwanza hadi Masama pale Hai kwa lami!
ila hawa vijana wa ccm waliojazwa humu mitandaoni hawajui chochote zaidi ya kumshambulia dr slaa!
wangeelaza mafanikio ningewapenda sana!
wanalipwa 7000 za bure hawa!
 
Umeme kabla ulikua dar es salaam na makao ya mikoa michache sasa wamewekeza mtera.kidatu.pangani.na sasa gas ya songosongo umeme angalau unapatikana
Afya kila mkoa na wilaya zote kuna kuna hospitali za serikali kina mama wanajifungua bure
Mhimbili universty inatoa madaktari zaidi 200 kila mwaka
Maji ya bomba yalikuwepo Dar pekee sasa mpaka kichaka punda yanapatikana
Kilimo sasa tumeanza kuondokana na jembe la mkono kwenda machine za kisasa na uzalishaji chakula umekua kiasi ya kuuza nje na tunaagiza chakula kichache sana
Usafiri karibu mikoa yote sasa imeunganishwa na bara bara za lami .ambapo kabla ya uhuru barabara ilikua dar to arusha pekee
Tazara m ni mradi mkubwa wa reli afrika umesaidia sana huduma rahisi za usafiri kutoka Dar makambako mpaka zambia
Safari za ndege nje zilikua chache sasa zipo kila siku japo ndege zetu wenywe hatujafanikiwa
Elimu kabla hatukua na universiity sasa tuna Uni za serikali 4 na za binafsi karibu 40 kwa pamoja zinahitimisha wanafunzi 40000 kwa mwaka huku Udom ikitarajiwa kuwa chuo kikubwa zaidi afrika
Michezo bado tunasua lakini tumeshawahi kuwa mabingwa wa dunia riadha na marathon na sasa tuna viwanja vizuri vya miichezo na timu kubwa kama Brazil zimetembelea hapa
Mawasiliano ya njia za simu yameimarika kutoka simu 20000 kabla ya uhuru mpaka simu 25m sasa hivi
Radio station moja kabla sasa zaidi ya 100
Hatukua na TV station kabla sasa zipo digital Tv station zaid ya 20 local chanels
Toka gazeti moja kwa siku mpaka daily zaidi ya 20 na weekly zaidi ya 10
Viwanda sasa vipo vingi . Vya sukari pamba unga nk kabla hakuna kiwanda.
Sukari inazalishwa ya kujitosheleza nchini
Huduma ya maji ni bei poa sana na imewezeshwa kwa kiasi
Usalama wetu pia ni huduma moja ambayo serikali imetuhakikishia
Imejenga huduma za kisasa za masoko mfano kariakoo na feri
Miji yetu kama Dar unaimarika kwa barabara kupanuka na sasa mradi mzuri wa kisasa wa rapid bus ni wa kujivunia.karibuni tutakuwa na fly over sehemu za ubungo na Tazara
Kwa mara ya kwanza huduma ya usafiri kwenda ngambo ya kigamboni itaunganishwa kwa daraja la kigamboni.usafiri baharini umeimarika kwa kujenga ferries na kule znz boti za kisasa zipo

Ukweli wa mambo mengi ya msingi yamefanywa ilichobaki ni kuyaendeleza yaboreke zaidi
Msingi imara tayari zimewekwa na taritibu zipo nzuri kabisa uboreshaji tu ndio jambo linalotakiwa.sheria za nchi nyingi ni kwa maslahi yetu na taifa na sasa katiba ya wana mchi wenyewe ipo kwenye mchakato
Hapa bwana mkubwa kinachotakiwa kubwa ni kuacha kubweteka kudhani huduma kutoka serikalini ni bure hivo kulemaa .
kazi ndio msingi wa maendeleo
Serikali haipo kutoa free meals ukweli imejitahidi ku play their role sasa ni zamu yako na yangu kuhakisha tunapata huduma bora zaidi.huo ndio mwarubaini
Mwisho nimesahau kabla hatukua na jamii forum na bloggers sasa tuna zaid ya blogs na forum 200 ambazo zinasaidia kuchangamsha serikali
 
Maandamano


Maandamano ni REAL DEMOCRACY... Unakumbuka Wakati wa CHAMA KIMOJA kila kitu tulikuwa tunaandamana kuunga Mkono chochote ?

USA Maandamano ya kupinga SERIKALI wanayaogopa haswa sababu wanasema UKWELI kuhusu UBOVU wa hiyo SERIKALI; Kama vile walipoandamana hadi WALL STREET kupinga WEZI na MABEPARI wa WALL STREET wana TRADE wao ni Mabilionear lakini Wananchi wa kawaida kwenye Makampuni wanafukuzwa kazi; kodi za nyumba zinaongezwa inabidi wawe homeless;

Kwahiyo WALIPOANDAMANA... BUNGE la Marekani lilikaa Macho na kupitisha SHERIA KALI DHIDI ya WALL STREET sababu ndio iliyosababisha UCHUMI wa DUNIA kuanguka...

Kwahiyo MAANDAMANO ni MAZURI yanaAMSHA waliolala wafanya IPASAVYO...
 
We bichwa lako gumu sana kuelewa eeh?
Umeulizwa huduma gani, at least moja inayopatikana kwa uhakika...wewe unajibu kuwa hata Marekani hawatimizi kila kitu!!
My butt...!, hilo ndiyo jibu la swali la mleta mada?

Mkuu jaribu kuemploy japo minimum common-sense kwenye vitu unavyopost JF!
Ok,swali lako limepata majibu.Ni huduma ya choo unamaoni yeyote tofauti?
 
Huduma ambayo CCM wamewapatia wananchi ya uhakika na inayopatikana haraka ni MALALAMIKO JUU YA MAISHA BORA
 
Maccm uwezi waona kazi yao propoganda wajibu hili ni la msingi sana
 
Back
Top Bottom