Mwana CCM yoyote akinijibu hili nahamia CCM

Ccm imeongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, swalilangu ni hili,

Ni huduma gani yoyote ya kijamii inayopatikana hapa nchini kwa uhakika tangu mshike madaraka?.
Maandamano
 
Misukule kama wewe hamna nafasi CCM kumejaa tayari
 
Huta waona wanaccm kwenye uzi huu....hawana cha kujibu....wapige tu,hii ndiyo huduma pekee inayopatika bila tabu.....
 
mimi naweza kujibu nikiwa kama raia wa nchi hii.
CCM pamoja na kukopa hela nyingi nje wamejitahidi sana kwenye barabara za LAMI.
mengine zero!
 
Ccm imeongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, swalilangu ni hili,

Ni huduma gani yoyote ya kijamii inayopatikana hapa nchini kwa uhakika tangu mshike madaraka?.

Kwanza twambie wewe una umri gani? maana isijekuwa una miaka 18 unauliza mambo ya miaka 52 iliyopita!! tutwambia ingia darasani usome historia ya kabla na baada ya Uhuru.
 
Back
Top Bottom