Leo ndiyo nimemfahamu vilivyo CHAMVIGA ni nani na ana akili gani. PISTOL LERO asante sana kwa swali zuri ambalo limetufumbua macho. Tumekuwa tunahangaika na watu wasiostahili kuhangaika nao. Sasa imetosha!!!!!!!!!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwanini ndugu jitahidi japo moja.Hili swalin halijibiki bwana halina jibu
Hata Marekani hawawezi kutimiza kila kitu
Tuelezeni hata hizo chache zinazopatikana kwa uhakika.Hata Marekani hawawezi kutimiza kila kitu
Akili za bavicha hizi.
unajua kusoma kweli wewe? nahitaji huduma moja tu ya kijamii inayopatikana tanzania nzima kwa uhakika na siyo vipande vya huduma.
Hata Marekani hawawezi kutimiza kila kitu
Ccm imeongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, swalilangu ni hili,
Ni huduma gani yoyote ya kijamii inayopatikana hapa nchini kwa uhakika tangu mshike madaraka?.
Ungemalizia barabara za lami zisizo na kiwango..mimi naweza kujibu nikiwa kama raia wa nchi hii.
CCM pamoja na kukopa hela nyingi nje wamejitahidi sana kwenye barabara za LAMI.
mengine zero!
Labda nicopy kwa wenzagu,hiyo mambo ya Rushwahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwanini ndugu jitahidi japo moja.
jibu swali,unalipwa hela za bure 7000 kila siku?majibu huna!
Misukule kama wewe hamna nafasi CCM kumejaa tayari
mimi naweza kujibu nikiwa kama raia wa nchi hii.
CCM pamoja na kukopa hela nyingi nje wamejitahidi sana kwenye barabara za LAMI.
mengine zero!
swali mbona rahisi, huduma moja tu iliyo ya uhakika.Kufa kwanza ndio utakuta kila huduma mbinguni ipo kwa ukamilifu wake sio hapa duniani.
Nipe mfano mmoja tu wa nchi iliyo na huduma moja ya jamii inayopatikana kwa ukamilifu wake ndio urudi huku kwenye 3th world country yako.