Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,800
- 165,548
Megawatts za TANESCO!
Misukule kama wewe hamna nafasi CCM kumejaa tayari
kweli ?Barabara na simu
Elimu na shule mkoa una shule
Pili hospitali kila mkoa una hospital
Tatu maji kila mkoa una maji
Nne usafiri kila mkoa una lami
Halafu ccm haihitaji watu wenye akili za kibavicha.
Lukosi, uko off point kabisa! Kwa mujibu wa swali unatakiwa utoe angalau hata kitu kimoja, kimoja tu!
1.barabara ya lami kutoka mtwara kupitia dar hadi mwanza, kutoka tarakea - rombo arusha mombo tanga hadi dar, kutoka tunduma mbeya kupitia iringa moro hadi dar.Ccm imeongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, swalilangu ni hili,
Ni huduma gani yoyote ya kijamii inayopatikana hapa nchini kwa uhakika tangu mshike madaraka?.
Ya kukulinda wewe usiporwe mkeo ingawa kuna mijangili ina mbinu nyingi za kutukwepa.
Akili za bavicha hizi.
Mkubwa mleta uzi huu anajua kuwa ccm haiwezi kutekeleza kila kitu ila anacho taka yeye ni kuona kuwa ni huduma gani chini ya ccm ndani ya miaka zaidi ya 50 ambayo watasimama na kusema hii iko kamili kuanzia A-Z. Hebu tuambie najua wewe ni mdau wa maccm tupe hiyo huduma hata 1 sio mbaya mkubwa.Hata Marekani hawawezi kutimiza kila kitu
umesoma swali kweli we mbulula wa ccm?1.barabara ya lami kutoka mtwara kupitia dar hadi mwanza, kutoka tarakea - rombo arusha mombo tanga hadi dar, kutoka tunduma mbeya kupitia iringa moro hadi dar.
2. Elimu kuanzia chekechea, shule za sekondari kila kata nchi nzima hadi chuo kikuu (kila mkoa sasa una chuo kikuu sngalau kimoja, tunaelekea kuwa na vyuo vikuu vya wilaya
3.upatikanaji wa habari kupitia njia mbalimbali za upashanaji hususan mitandaoni km vile jf, televisheni zisizopungua 10, magazeti zaidi ya 20, redio nk. Hadi baadhi ta watu km nyie mnafikia kuitumia kutukana.
4. Hospitli za rufaa kia mkoa.
Kama swali ni gumu,basi chagua mwenyewe swali gani tukuulize
nikuulize sisi tutabaki 3th world country hadi lini wakati wana ccm wenzako wameficha hela uswiss amabazo zingetosha kujenga reli hapa tz? una akili wewe?
Kufa kwanza ndio utakuta kila huduma mbinguni ipo kwa ukamilifu wake sio hapa duniani.
Hivi unajua maana ya neno uhakika ndugu? Jiulize vizuri hapa sio pakupigania buku 7 hili swali kawashika pabaya sana magamba.1.barabara ya lami kutoka mtwara kupitia dar hadi mwanza, kutoka tarakea - rombo arusha mombo tanga hadi dar, kutoka tunduma mbeya kupitia iringa moro hadi dar.