PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
- Thread starter
- #61
ok wewe tupe swalileo umekosa hela ya kiroba ndo maana unauliza majibu

Dah ngoja nifikirie kama naweza kufikiria kuhamia,nafikiri umenielewaHuduma ya kwanza na bora kuliko zote ni ngono kwenye mbio za mwenge. Hii huduma imekuwa bora na maarufu kwa kuondoa bikra za mabinti wadogo.
Huduma nyingine bora ni Undalichakolism. F haijawahi kukosekana tokea uhuru hadi sasa
Haya hamia ccm kamanda
Oxygen na ndio maana uko hai mpaka leo
Taahira wa CCM ni Profesa wa Chadema kwa kulitambua hilo angalia wanaotoka CCM wananga'aa Chademakimejaa kweli mataahira......
umesahau udini na ukabila.Ya kukulinda wewe usiporwe mkeo ingawa kuna mijangili ina mbinu nyingi za kutukwepa.
Umeme kabla ulikua dar es salaam na makao ya mikoa michache wamewekeza mtera.kidatu.pangani.na sasa gas ya songosongo umeme angalau unapatikana
Afya kila mkoa na wilaya zote kuna kuna hospitali za serikali kina mama wanajifungua bure
Mhimbili universty inatoa madaktari zaidi 200 kila mwaka
Maji ya bomba yalikuwepo Dar pekee sasa mpaka kichaka punda
Kilimo sasa tumeanza kuondokana na jembe la mkono kwenda machine za kisasa
Usafiri karibu mikoa yote imeunganishwa na bara bara za lami kabla barabara ilikua dar arusha pekee
Wwmejenga Tazara ikiwa ni mradi mkubwa wa reli afrika
Safari za ndege nje zilikua hamna sasa zipo japo ndege dio zetu
Elimu kabla hatukua na universiity sasa tuna Uni za serikali 4 na za binafsi katibu 40 kwa pamoja ninahitimisha watafunzi 40000 kwa mwaka huku Udom ikitarajiwa kuww chuo kikubwa zaidi afrika
Michezo bado tunasua lakini tumeshawahi kuwa mabingwa wa dunia riadha na narathon na sasa tuna viwwnja vizuri vya miichezo na timu kubwa kama Brazil zimetembelea hapa
Mawasiliano ya njia za simu yameimarika kutoka simu 20000 kabla ya uhuru mpaka simu 25m sasa hivi
Radio moja kabla sasa zaidi ya 100
Hatukua na TV kabla sasa zipo digital zaid ya 20 local chanels
Toka gazeto moja mpaka daily zaifi ya 20 na weekly zaidi ys 10
Viwwnda sasa vipo vingi . Bys sukari pamba unga nk kabla hakuna kiwanda
Huduma ya maji ni bei poa sana na imewezeshwa kwa kiasi
Ukweli mambo mengi ya msingi yamefanywa ilichobaki ni kuyaendeleza yaboreke zaidi
Msingi imara tayari zimewekwa na taritibu zipo nzuri kabisa uboreshaji na kubwa ni kuacha kubweteka kudhani huduma kutoka serikalini ni bure hivo kulemaa kazi ndio msingi wa maendeleo
Serikali imejitahidi ku play their role sasa ni zamu yako na yangu kuhakisha tunabuka juu zaidi
Mwisho nimesahau kabla hatukua na jamii forum na bloggers zaid ys 200 ambazo zinasaidia kuchangamsha serikali

kamanda sijauliza mafanikio ya ccm tangu uhuru,nimeuliza huduma yoyote ya kijanii inayopatikana kwa uhakika hapa nchini.mimi sikuwahi kuota kama ningetoka mwanza hadi Masama pale Hai kwa lami!
ila hawa vijana wa ccm waliojazwa humu mitandaoni hawajui chochote zaidi ya kumshambulia dr slaa!
wangeelaza mafanikio ningewapenda sana!
wanalipwa 7000 za bure hawa!
unajua kusoma kweli wewe? nahitaji huduma moja tu ya kijamii inayopatikana tanzania nzima kwa uhakika na siyo vipande vya huduma.Umeme kabla ulikua dar es salaam na makao ya mikoa michache wamewekeza mtera.kidatu.pangani.na sasa gas ya songosongo umeme angalau unapatikana
Afya kila mkoa na wilaya zote kuna kuna hospitali za serikali kina mama wanajifungua bure
Mhimbili universty inatoa madaktari zaidi 200 kila mwaka
Maji ya bomba yalikuwepo Dar pekee sasa mpaka kichaka punda
Kilimo sasa tumeanza kuondokana na jembe la mkono kwenda machine za kisasa
Usafiri karibu mikoa yote imeunganishwa na bara bara za lami kabla barabara ilikua dar arusha pekee
Wwmejenga Tazara ikiwa ni mradi mkubwa wa reli afrika
Safari za ndege nje zilikua hamna sasa zipo japo ndege dio zetu
Elimu kabla hatukua na universiity sasa tuna Uni za serikali 4 na za binafsi katibu 40 kwa pamoja ninahitimisha watafunzi 40000 kwa mwaka huku Udom ikitarajiwa kuww chuo kikubwa zaidi afrika
Michezo bado tunasua lakini tumeshawahi kuwa mabingwa wa dunia riadha na narathon na sasa tuna viwwnja vizuri vya miichezo na timu kubwa kama Brazil zimetembelea hapa
Mawasiliano ya njia za simu yameimarika kutoka simu 20000 kabla ya uhuru mpaka simu 25m sasa hivi
Radio moja kabla sasa zaidi ya 100
Hatukua na TV kabla sasa zipo digital zaid ya 20 local chanels
Toka gazeto moja mpaka daily zaifi ya 20 na weekly zaidi ys 10
Viwwnda sasa vipo vingi . Bys sukari pamba unga nk kabla hakuna kiwanda
Huduma ya maji ni bei poa sana na imewezeshwa kwa kiasi
Ukweli mambo mengi ya msingi yamefanywa ilichobaki ni kuyaendeleza yaboreke zaidi
Msingi imara tayari zimewekwa na taritibu zipo nzuri kabisa uboreshaji na kubwa ni kuacha kubweteka kudhani huduma kutoka serikalini ni bure hivo kulemaa kazi ndio msingi wa maendeleo
Serikali imejitahidi ku play their role sasa ni zamu yako na yangu kuhakisha tunabuka juu zaidi
Mwisho nimesahau kabla hatukua na jamii forum na bloggers zaid ys 200 ambazo zinasaidia kuchangamsha serikali
Viloba.
ccm imeongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, swalilangu ni hili,
ni huduma gani yoyote ya kijamii inayopatikana hapa nchini kwa uhakika tangu mshike madaraka?.
unajua kusoma kweli wewe? nahitaji huduma moja tu ya kijamii inayopatikana tanzania nzima kwa uhakika na siyo vipande vya huduma.
ni kweli mkuu, ccm imejaa mafisadi na wachumia tumbo!Misukule kama wewe hamna nafasi CCM kumejaa tayari
Swali zuri sana kwa CCM lakini cha ajabu badala ya kuchukulia kwamba ni swali la kueleza walichoulizwa wao wanaweza kuona kwamba ni matusi kwao,kumbe jibu lao linaweza kuwaelewesha watu wakajua lililofanyika wakaachana na mawazo ya wale wanaosema ccm haijafanya loloteCcm imeongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka hamsini sasa, swalilangu ni hili,
Ni huduma gani yoyote ya kijamii inayopatikana hapa nchini kwa uhakika tangu mshike madaraka?.
Madawa ya kulevya...