Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
BAK tuwekee link tujifaidie.Nlipataga deal la kupeleka bangi sijui Italy nimesahau nchi.Malipo usd 8000 teh teh watoto wa k.koo na ilala wana mambo.Nliogoba mie
😱😱😱😱
Nackia uyu dada ananunua designer stuff kabisaa kama kina Kim K..viatu CLoubotin,Zanotti kumwaga madollari kununua haoni tabu ,haya sasa KITANZI AWAITS YOU,...!bado WEMA S
Hapo angeweka na qualification kabisa na kusema 'mara mia buzi, lakini siyo la Kichaga':happy:
Natania tu lakini.
Dah, ila wema bana kama ni kuuza k basi yeye ni the boss of the market! Nasikia eti yule jamaa alokuwa akimuweka posta bana kamtema!!
Sasa jamani nimeshangaa juzi mi nimekaa tu kwangu nimetulia, mara namba ngeni inaingia! Jamani nauliza nani? Akasema wema S! Ohooo! Unataka nini? Ws؛‎ ooh, unajua ww ni hb naomba uwe wangu!
Mmh, mi nilikataa aisee!
BAK tuwekee link tujifaidie.Nlipataga deal la kupeleka bangi sijui Italy nimesahau nchi.Malipo usd 8000 teh teh watoto wa k.koo na ilala wana mambo.Nliogoba mie
Nackia uyu dada ananunua designer stuff kabisaa kama kina Kim K..viatu CLoubotin,Zanotti kumwaga madollari kununua haoni tabu ,haya sasa KITANZI AWAITS YOU,...!bado WEMA S
Anajishaua tu. Anataka kusema lile kasri lake kajengea hela ya mshahara. Au na yeye anataka kugombea urais.
Anajishaua tu. Anataka kusema lile kasri lake kajengea hela ya mshahara. Au na yeye anataka kugombea urais.
Kuliko kufanywa punda bora uwe mama ntilie. Ukiangalia vizuri wengi wanaofanywa punda ni wadada warembo maskini. Ukichuna buzi kumbuka kuna kukamatwa na mwenye mali sasa uwe tayari kwa vita either kumwagiwa maji ya moto au acid . Kuliko utokewe na hayo yote bora uanzishe biashara hata ndogo tu naamini Mungu atakusaidia .
Hivi Yaeda chini inajumuisha na Mang'ola,Qangdeng na Baray?
Nimepita huko wakati fulani kwenye kautafiti. Ningekuona wallah nisingekuacha!!
Njoo Yaeda wewe nikuchomee kinyanyi kwa heshima na taadhima.......Yaeda iliyotukuka......Yaeda sisi ndio tunaendesha punda na hatugeuzwi punda.....
Ukipata mpenzi mpya, usianze kupigia watu kelele ukihisi unadate malaika......malaika wote wapo mbinguni hakuna anayeishi Yaeda Chini.....usidhani huyo ni bora kuliko uliyemuacha....ni kuvumiliana tu....
Ukiuza paka wako wa nyumbani...ukanunua mbwa.....there is no progress....they are all domestic animals....
sawa jamani....?
mi mwenyewe hamna mwanamke anayenitisha!!
wanawake wenyewe nyie wavaa suruali! heri hata mngedumisha utamaduni wa mini skirt, lakini si suruali!
yani wewe you all about buying designers stuffs....sio comment ya kwanza hii kukusikia unasema hivi.....inaonesha inakurusha roho sana ehhhe basi na wewe kuwa punda
Bahati nasikia kitongoji alicho kamatwa kinaitwa "Maccao" sina uhakika ba spelling zenyewe hawanyongi kwa kesu hii ila atachezea mvua za kutosha akirudi kawa ajuza.