Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
Naunga mkono hoja bora mtuchune mabuzi kuliko kubeba sembe nakuishia kufa. Kunyongwa au jela.
Mtuchune mabuzi wala hakuna sheria ya kukataza uchunaji mabuzi
Wewe ni mmoja wa wasio na akili ambao wanazungumziwa hapo...
Haaaa...na magonjwa ukiyapata buzi atakuja kukupeleka hospital tinna?yote mawazo mabaya bora uchakalike mwenyewe upate pesa yako..
jamani jamani! kwa hiyo na urembo wooote huo wanokuwa nao bado vinashikwa shikwa na kuchanwa then vinaingiziwa kete za pool?
bila shaka vinagegedwa sana hivi during the process and after the process!!
poleni!
Ndio maana wanapoenda kuchuna wanajikuta wamechunwa wao. Hadi wachunaji wanatumia viagra chezea mteremko. Kama ulivyosema mwanamke fanya kazi na upate pesa kwa jasho lako haya mambo ya dezo dezo haya wanajikuta wamemwagiwa acid au maji ya moto na wengine wanalazimishwa upunda sababu hizi hizi .Umenena sahihi kabisa......buzi na lenyewe nuksi.....sijui kwa nini mtu apende mteremko wakati ana akili timamu na nguvu.....hakuna kitu raha kama mwanamke kujivunia jasho lako....
Huu ni ushauri wa Mwamvita Makamba, kwa wadada ambao hawajaenda shule, wasio na uvumilivu, wasio na akili ya maisha na wasio wabunifu.
mkuu do the needful.. i need the link for my personal consumption.Mie sijui hiyo process Mkuu, nilisoma kiduchu tu nikashindwa kuendelea kuusoma, lakini process nzima ya kuweka hayo madubwasha tumboni ilikuwepo pale.
Siku hizi hata kama mlipima na wote hamjaathirika bado hauko salama mpaka uhakikishe hilo buzi halina access na manati ya mzungu!Naunga mkono hoja bora mtuchune mabuzi kuliko kubeba sembe nakuishia kufa. Kunyongwa au jela.
Mtuchune mabuzi wala hakuna sheria ya kukataza uchunaji mabuzi
DIAMOND ana afadhal ujue hela yake tunaona inatoka wap,show za above 10M kwake kawaida ckuiz,mara Cocacola m100,mara Voda cjui sh ngapi,atlst yeye
WEMA S pale kati hayo ma'Audi,Harrier nk ,mara nyumba m400 cjui,mara studio, mara dubai shopping,mara China,kwa biashara ipiii .,ht boutique ya kuzugia hanaa..ckuiz CD bongo movie haziuzik ht kdogo,na kaigiza movie ngap btw,nan amuhonge hela zote hzo?!!.....NANIIIII,KAMA SIO NGUVU YA SEMBE!..