SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Tangu enzi ya magu Mwamposa yupo hapoMtanganyika atakayeingia Ikulu hiyo Octoba lazima atakirudisha.
Club Bilicanas ilianza lini na mwisho wake ulikuwa lini.Tangu enzi ya magu Mwamposa yupo hapo
Simba ili beba Kombe?Naona ili anguko linaenda kuwaangukia watu, maombi ya Mwamposa hayakufanya kazi? Wako wapi mashehe watoa mapovu? Je kanisa nalo limefanya vitu vyake?
Paza sauti zaidi wakusikie, ili na sisi tudandie haPoKwani kumetokea nini?
Mkuu 'Moise', kuna swali hilo!Ni kweli mzee.Watapata taabu sana.
Tutakuwa tuna Export makongoro?Nakiona kiwanda cha nyama cha Tanganyika packers kikirudi upya na vijana wetu wenye Bachelor degree of "nyama beef and Makongolo" wakipata ajira sasa kama wataalamu.
Wachukue tu atatafta pa kuhamiaClub Bilicanas ilianza lini na mwisho wake ulikuwa lini.
Tusiwawekee maneno kwenye magego.Tuwasubiri.Paza sauti zaidi wakusikie, ili na sisi tudandie haPo
Mkuu 'Moise', kuna swali hilo!
Sawa sawa; lakini nimeona barua moja humu humu JF ya kuahirisha vikao vyote vya Kamati Kuu; hiyo ni ISHARA nzuri sana.Tusiwawekee maneno kwenye magego.Tuwasubiri.
Dah!Tusimalize misamiati ndugu yangu.Sawa sawa; lakini nimeona barua moja humu humu JF ya kuahirisha vikao vyote vya Kamati Kuu; hiyo ni ISHARA nzuri sana.
Na huyo anayesemwa kukimbia je; unalo lolote huko?