kuna mwingine alikaa miaka 20 kule milimani aisee, vita hizi tuendelee kuzifatilia kwenye mitandao tu, vita ni kitu katili sanaManeno mengi mwaka 4 huu.
Kazi ni kipimo cha utu
Basi mwenyewe unajiona umeandika booonge la point.Huyu nae anapambwa mno
Ni wewe unasema. Labda China iwe imefirisika ndio useme pesa kwake imeyumba.Atachoka tu pesa ishayumba huyu
Kwa hivyo china anamsaidia Urusi?Ni wewe unasema. Labda China iwe imefirisika ndio useme pesa kwake imeyumba.
100% FINANCIALLY ila sio millitarily.Kwa hivyo china anamsaidia Urusi?
Kweli maana ulifunguliwa uzi humu ukawa live sasa hivi hata jina yake haikumbukwi.Wapigane basi
Waache maneno mengi kama wanaompinga Dudubaya hapa bongo.
Na akaacha ndala😁😁😁kuna mwingine alikaa miaka 20 kule milimani aisee, vita hizi tuendelee kuzifatilia kwenye mitandao tu, vita ni kitu katili sana
Kwani wanakukwamisha nini wanapopigana hao wazungu, acha wauwane wapunguze wanadamu waliotokana na uzao wa shetani duniani.wachapane haya mambo yaishe tuendelee na mengine
ndala + vifaa vya kijeshiNa akaacha ndala😁😁😁
Mafuta yalipanda hadi kufikia mara mbili ya bei iliyokuwapo na kila kitu kikapanda, lkn mishahara ipo palepale.Kwani wanakukwamisha nini wanapopigana hao wazungu, acha wauwane wapunguze wanadamu waliotokana na uzao wa shetani duniani.
Suluhu ni wao kuacha kupigana au ni sisi kuwaza namna ya kujitegemea katika uzalishaji wa nishati?Mafuta yalipanda hadi kufikia mara mbili ya bei iliyokuwapo na kila kitu kikapanda, lkn mishahara ipo palepale.