Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,959
- 828,686
Kevin Durant ana utajiri wa dola milioni 200 na anakaribia miaka40, hana mke, hana watoto, hana rafiki wa kike, hana mswaki, hana cream. Ni yeye na Mama yake tu na mpira wa kikapu..
Mwana hata hajali chochote. Anaishi maisha yasiyo na stress.
Hivi majuzi alifanya interviee yenye utata:
'Jambo hili la uchumba ni mbaya sana. Mapenzi husababisha uraibu, mapenzi hayana uhuru. Ninapenda kujisikia huru, naridhika sana nikiwa huru. Na kuhusu ngono.. ningependa kulipa kuifanya, hakuna masharti. "
Anasema kuwa katika mahusiano mambo ni mengi, ni kama jela.... Na Ikitokea mambo yameenda vibaya, mwanamume hupoteza zaidi ya nusu ya utajiri wake...ambao mpenzi wake hakuutolea jasho.
Anamalizia kwa kusema...
Bora ukae peke yako na ufurahie amani yako ya akili. !! Utaishi maisha mengi
CC: #Team kataa ndoa